Hivi ndivyo Mwandishi wa Blog hii alipo mkuta bibi Thabitha
Ngalaba, Eneo la Station ya Mwanza akiosha kioski chake cha kuuzia
Samaki. sikumoja kabla ya treni kuingia Mkoani Mwanza. Eneo la station
lilikuwa Maarufu na Wajasiriamali wadogo katika kujipatia kipato.
Post A Comment: