Meneja wa Wakala wa Vipimo Mkoa wa Mwanza, akishuhudia mzani unaopima Pamba mara baada ya msimu wa Ununuzi kuanza |
Elimu ya Mizani kwa wakulima wa Pamba Mkoani Shinyanga hata baada ya Msimu wa Ununuzi wa pamba kuanza |
Marobota ya Pamba yanayo subiri kuuzwa baada ya msimu kufunguliwa mkoani Simiyu |
Maafisa wa Wakala wa Vipimo wakiangali Mawe ya Mizani yanayotumika katika Mizani Mbalimbali.
|
Waliosimama chini ni Maafisa wa Wakala wa Vipimo wakionesha Mizani zilizo hakikiwa tayari kwa msimu huu wa ununuzi wa Pamba |
Post A Comment: