Ilikuwa siku ya Tarehe 14 Dec. 2012 Wakati Mkurugenzi wa
Vijana Nchini Prof. Elisante Ole Gabriel, alipo Hitimu kwa Mara Nyingine
PhD ya Pili.
Kwamujibu
wa maelezo yake Prof.Elisante anasema anajisikia fahari sana kumaliza
ngazi hiyo ya PhD kwa mara nyingine tena Ndio maana nakwambia ndugu mdau
Elimu haina mwisho, na anatamani kuendelea kusoma zaidi na zaidi,
Prof. Elisante Kabla ya kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Vijana
Nchini alikuwa akikufunzi katika Chuo Kikuu cha Mzumbe kilichopo Mkoani
Morogoro.
TAZAMA PICHA ZAIDI
Picha zote hizo akiwa na Wahitimu wengine. zote zimepigwa na Mdau wa Blog hii Atley Kuni
Post A Comment: