Rais Mstaafu wa Afrika Kusini-Mzee Nelson Mandela |
Katika taarifa iliyotolewa na serikali, imearifiwa kuwa madaktari waliamua kushughulika na mapafu yake Bwana Mandela kwanza, kabla ya kufanyiwa upersheni wa Jumamosi.
Wakuu wa Afrika Kusini wamelaumiwa kuwa hawakuwa wakieleza hali ya Bwana Mandela, ambayo imechochea wasi-wasi zaidi kuhusu afya yake
CHANZO
BBC-Swahili
Post A Comment: