Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Bw. Ndaro Kulwijira. |
Alisema taaluma ya uthamini, ni oja ya taaluma muhimu katika kukuza sekta ya Uchumi wa nchi kwa kuwa na kiwango kikubwa inatoa huduma zinazogusa moja kwa moja jamii yetu ambayo ni masikini.
Ameongeza kuwa kwa muda mrefu ofisi ya uthamini wa fidia imekuwa ikilalamikiwa na wananchi kuwa fidia wanayoitoa kutokidhi mahitaji stahiki ya wananchi. vilevile amewaagiza wathamini wa kanda hii kuhakikisha kuwa wanahuisha viwango ili viendane na na hali ya soko ya sasa.
Katika hatua nyingine wathamini hao wameaswa kuyazingatia mafunzo hayo ya siku tano.
Post A Comment: