HAWA NI MORANI WA KIMASAI WAKIWA WANABARIZI |
SORONERA CAMP NI SEHEMU YA NAKSHI ZA MBUGA ZETU. |
TUKISEMA TUNAO WANYAMA WAKUTOSHA HII NDIO TAFSIRI YAKE. |
NDEGE NAO UTAWAONA UKIWA MBUGANI. |
MITI MIZURI YAKUVUTIA NDANI YA NGORO NGORO |
TARATIBU WATU WANAZAMA SHIMONI. |
MNYAMA AMBAYE HUAMINIKA MUDA WOTE HUWA AMENONA. |
NDOVU WANYAMA WALIOKUWA WANATESWA SANA SIKU ZA HIVI KARIBUNI. |
MR. ATLEY KUNI- MWANZA RS Information Officer ndani ya Crater. |
BWAWA HILI HUTOKEA ZIWA VIKTORIA KWA MUJIBU WA WATAALAM. |
SIMBA HAWAOGOPI WATU HUMU CRATER. |
TUNATOKA KUVUNA KUNI MBUGANI SISI WAMASAI WA NGORO NGORO |
Post A Comment: