Kama nisingekuwa Mwanahabari nisingepata cha kuandika siku ya leo, au kama ndoto zangu hizi nilizo ziamini toka nasoma shule ya msingi Pale Mkalama Mkoani kilimnjaro katika Wilaya ya Hai leo hii ningepata shida sana kuandika chochote.
Nkwabi Ng'wanakilala Umeondoka wakati nchi yetu na Taifa kwa ujumla sisi tulipitia chini ya darasa lako tulitamani sana tuendelee kuchota hekima Busara na maarifa Chanya Ulokuwa nayo, Mzee ambaye hukuwa kukasirika hata siku moja na hata kama ulikasirika ilikubidi uwe mtu makini sana kuitambua hasira ya Mzee huyu.
Nikiwa pale Chuoni siku moja mtu mmoja aliniuliza hivi nina nani aliyekuvutia hata kukufanya leo hii kuwepo ndani ya darasa la habri jibu lililotoka hakika bila unafiki, nilimjibu ni Ngw'anakilala, akaniuliza tena kwa nini huyo, nikamwambia ni mtu aliyesukuma ndoto zangu nilimfahamu toka nikiwa kinda yeye na Charles Hilari wakati huo wakiwa RTD.
Raha na furaha yangu kwa Mzee huyu iliongezeka siku alipo ingia kwenye darasa kwa ajili ya kutufunsha juu ya Current affair somo ambalo kila mmoja wetu alilipenda na hakuna hata mmoja aliyefeli somo hilo. hakika sikusita kuzidisha furaha yangu kwa kumfuata na kumwambia Mzee Nkwabi mimi nakufahamu toka nikiwa kinda kindaki kabisa na leo naomba nitapike lililomo moyoni mwangu. Nika mwambia " Shauku yangu ilikuwa siku moja nije kukuona ana kwa ana".
Nikamwambia mzee moja ya watu walionifanya leo nipo ndani ya darasa hili ni pamoja na wewe, hakika naye alitabasamu, nikafurahi mno.
Kipekee Nitaendelea kumuenzi mzee huyu kipenzi cha wengi, aliyekuwa mtu asiyependa mengi, japo ndani ya moyo wake alikuwa kajifunza mengi ya Mbinguni na Duniani.
Huu ni wasifu wa kitaaluma wa Comrade Nkwabi.
Born... 8.8.1945,Bukwimb a,Mwanza
EDUCATION
1962-1968...Old Moshi Sec(English,Literature and Economics)
1969-1972....UDSM,(BA WITH EDUCATION)
1973-1974....THE UNIVERSITY OF MANCHESTER(advanced diploma Mass Communication and adult education)
1975-1981.....UNIVERSITY OF MANCHESTER(M.A Mass Communication)
1983-1984.....THE UNIVERSITY OF TAMPERE
WORK EXPERIENCE
1972-1975..Tutorial Assistant and Later Resident Tutor,UDSM
1975-1979...Head of Mass Communication Dept and Editor in Chief
1979-1981....Director of Tanzania Information service
1981-1986.....Director General of Tanzania News Agency
1986-1990....Information officer of the Southern African Development Conference
1990............Technical adviser to the ministry of information and broadcasting
1991-1995....Director General.Radio Tanzania Dar es Salaam
1994-1997......Director General,Tanzania News Agency.
1999,mpaka kifo,Senior Lecturer in Journalism and Mass Communication,St Augustine University of Tanzania
Haya ndiyo baadhi ya machapisho ya
Nkwabi Ng'wanakilala,ngwiji wa habari Tanzania.
PROFESSIONAL MEMBERSHIP
ACE-AFRICAN COMMUNICATION EDUCATION
SABA-SOUTHERN AFRICAN BROADCASTING ASSOIATION
MISA-MEDIA INSTITUTE OF SOUTHERN AFRICA
CPU-COMMONWEALTH PRESS UNION
AJM-ASSOCIATION OF JOURNALISTS AND MEDIA WORKERS
IOJ-INTERNATIONAL ORGANIZATION OF JOURNALISTS
IFJ-INTERNATIONAL FEDERATION OF JOURNALISTS
BOARD MEMBER OF SAMDEF:COMPONENT OF MISA WITH EFFECT FROM SEPT 2003
RESEARCH AND PUBLICATIONS BOOKS
1.USIKU WA NGOMA
2.KUISHI NI KUJINZA
3.MASS COMMUNICATION AND THE DEVELOPMENT OF SOCIALISM IN TANZANIA TPH 1981
4.MAPAMBANO YA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA
5.MASS MEDIA IN TANZANIA:THE SECOND LIBERATION STRUGGLE:”WITH PROF KAARLE NORGENSTRENG
6.UNYAYO WA MWALIMU
PAPERS
1.MEDIA AND DEVELOPMENT:CASE OF TANZANIA,PAPER PRESENTED AT A JOINT CONFERENCE OF THE MINISTRY OF PLANNING IN TANZANIA AND THE ECA
2.MASS COMMUNICATION AND THE DEVELOPMENT OF SOCIALISM IN TANZANIA TPH 1981
3.CONFLICT AND RESOLUTION:THE CASE OF THE KIRUA WAR IN MUSOMA
4.TRAINING OF RADIO KWIZERA STAFF ON THE USE OF RADIO IN CONFLICT SITUATIONS:THE CASE OF NGARA
:
UNPUBLISHED MANUSCRIPT
1.DEMOCRACY,COMMUNICATION AND DEVELOPMENT:EMPOWERING POLICIES AND CONFLICTS IN TANZANIA
2.DEVILS ADVOCATE:FOUR DECADES OF MEDIA TRANSITION IN TANZANIA:VIRTUES OF ETHICS,CRITICAL ANALYSIS AND SOCIAL RESPONSIBILITY
3.NYERERE,SOCIALISM AND TANZANIA
Huu ni wasifu wa kitaaluma wa Comrade Nkwabi.
Born... 8.8.1945,Bukwimb

PUMZIKA KWA AMANI NKWABI NG'WANAKILALA. UMETENDA KWA ZAMU YAKO, UMEKAMILISHA SEHEMU YAKO!!
Post A Comment: