Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania,
wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi
lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach
jijini Dar es Salaam, juzi Agosti 23, 2014. Katika Bonanza hilo timu ya Rav 4
iliibuka mshindi wa jumla katika michezo yote iliyochezwa ikifuatiwa na timu ya
Hilux, VX na Prado. Picha zote na www.sufianimafoto.com
Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania,
wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi
lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach
jijini Dar es Salaam, juzi Agosti 23, 2014. Katika Bonanza hilo timu ya Rav 4
iliibuka mshindi wa jumla katika michezo yote iliyochezwa ikifuatiwa na timu ya
Hilux, VX na Prado.
Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya Toyota Tanzania, Bw. Vinod Rustagi, akimkabidhi Kombe la ushindi wa
jumla katika michezo yote mwakilishi wa timu ya RAV 4, Mumma Nyamhanga, wakati
wa hafla ya Bonanza maalum la kuwapongeza wafanyakazi wa Kampuni hiyo
lililofanyika kwenye ufukwe wa Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam,
mwishini mwa wiki. Kushoto ni mwamuzi wa michezo hiyo, Othman Kazi.
Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya Toyota Tanzania, Bw. Vinod Rustagi, akimkabidhi Kombe la washindi wa
pili katika michezo yote mwakilishi wa timu ya Hilux, Brian Manase, wakati wa
hafla ya Bonanza maalum la kuwapongeza wafanyakazi wa Kampuni hiyo lililofanyika
kwenye ufukwe wa Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam, mwishini mwa
wiki. Kushoto ni mwamuzi wa michezo hiyo, Othman Kazi.
Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya Toyota Tanzania, Bw. Vinod Rustagi, akimkabidhi Kombe la washindi wa
tatu katika michezo yote wawakilishi wa timu ya VX, Athuman Mgeni (wa pili
kushoto) na Ibrahim Zombo (wa pili kulia), wakati wa hafla ya Bonanza maalum la
kuwapongeza wafanyakazi wa Kampuni hiyo lililofanyika kwenye ufukwe wa Hoteli ya
Kunduchi Beach jijini Dar es salaam, mwishini mwa wiki. Kushoto ni mwamuzi wa
michezo hiyo, Othman Kazi.
Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya Toyota Tanzania, Bw. Vinod Rustagi, akimkabidhi Kombe la washindi wa
Nne katika michezo yote mwakilishi wa timu ya Prado, Mtumwa Amour (wa pili
kulia) na Fazal Ismail (wa pili kushoto), wakati wa hafla ya Bonanza maalum la
kuwapongeza wafanyakazi wa Kampuni hiyo lililofanyika kwenye ufukwe wa Hoteli ya
Kunduchi Beach jijini Dar es salaam, mwishini mwa wiki. Kushoto ni mwamuzi wa
michezo hiyo, Othman Kazi.
Timu ya Rav 4, ambao
waliibuka na kikombe cha ushindi wa jumla, wakipiga picha ya kumbukumbu pamoja
kwa furaha, baada ya kukabidhiwa kombe lao la ushindi wa Bonanza hilo
lililoelezwa kuwa litakuwa likifanyika kila mwaka ili kuwapa motisha wafanyakazi
wake.
Timu ya
PRADO....
Timu ya
VX....
Timu ya
HILUX......
Timu ya RAV
4...........
Wachezaji wa timu ya
Rav 4 (wenye Tisheti za rangi ya njano) wakichuana kuwania mpira na wachezaji wa
timu ya VX. Katika mchezo huo Rav 4 walishinda mabao 2-0.
Chenga moja
Chaliiiiiii..........................
''Hapa si ubosi tu hata
soka bado nimo''.......
Mtanange
ukiendelea.....
Wachezaji wa timu ya
Prado (wenye Tisheti za rangi ya bluu) wakichuana kuwania mpira na wachezaji wa
timu ya Hilux. Katika mchezo huo Prado walishinda kwa mkwaju wa penati baada ya
kumalizika dakika 30 na kutoka sare ya bao 1-1.
Mourinho wa timu ya
Prado (kushoto) akifanya vitu vyake na kumgalagaza beki wa Hilux.
Netiboli hapa ilikuwa
ni timu ya Rav 4 (rangi ya njano) na Prado, Rav 4 ilishinda mabao
9-2.
Hapa ilikuwa ni timu za
Netiboli kati ya Hilux (rangi nyekundu) na VX, Vx ilishinda mabao
7-3
Voliboli hapa ilikuwa
ni Rav 4 na Prado...Prado walishinda.....
Wahi hiyo
weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hapa ilikuwa ni mchezo
wa kuvuta kamba kati ya VX na Rav 4, Rav 4 walishinda
Timu ya Rav
4....
Mvutano ulikuwa si
wakitoto.......
Hapa ilikuwa ni mchezo
wa kudansi.....na kuganda......
Kamba timu ya
Prado.......
Kamba timu ya Prado na
Hilux...... KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA BOFA READ MORE
Post A Comment: