MHE. RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUWA AKIWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE BARABARA YA KISESA USAGARA INAYOJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI KM. 16.8 KWA PESA ZA KITANZANIA SHILINGI 17,898,375,742.50. |
DARAJA LA NYASHISHI. |
MHE. RAIS ALIPOFIKA ENEO LA NYASHISHI NA KUPOKELEWA NA WENYEJI WAKE. |
MHE. RAIS AKIPOKEA TAARIFA YA MRADI WA MAJI KTK MJI WA NGUDU. |
RAIS AKIPOKEA MAELEZO KUTOKA KWA MTENDAJI MKUU WA TANROAD NCHINI WAKATI WA UKAGUZI WA BARABARA YA USAGARA KISASA TAREHE 10.10.2014. |
MDAU ALIKOSA NAFASI IKAMBIDI APANDE JUU YA MTI HUU WENYE MIBA KWA AJILI YAKUMSIKILIZA MHE. RAIS WAKATI WA UZINDUZI WA DARAJA LA NYASHISHI. |
HOTUBA INAENDELEA. |
TUNAKUSIKILIZA MHE. RAIS. |
DARAJA MOJA WAPO LINALOJENGWA SAMBAMBA NA BARABARA YA KISESA USAGARA. |
MWANANCHI HUYU ALIKUWA AKIMLALAMIKIA MWANDISI AMBAYE SURA YAKE HAIONEKANI VIZURI, AKILALAMIKA KUPATA FIDIA KIDUCHU KUTOKANA NA ENEO LAKE KUATHIRIWA NA UJENZI WA BARA BARARA YA USAGARA KISESA. |
TUNAFATILIA. |
MAELEZO YA DARAJA LA NYASHISHI. |
UMATI WA WATU WAKIFATILIA HOTUBA YA RAISI. |
NGOMA YA MCHELEMCHELE NA BURUDANI NAYO ILIKUWEPO. |
SASA TUZINDUE DARAJA RASMI. |
HII NDIO NGOMA YA ZEZEA IPENDAYO MAGUFULI. |
MTO NYASHISHI AMBAO HAPO AWALI ULIKUWA NI HATARI KULIKO KABLA YA KUJENGWA KWA DARAJA HILO. |
MKUU WA WILAYA YA YA MAGU WAKATI WA UWEKAJI JIWE LA MSINGI BARA BARA YA KISESA USAGARA HAPO ALIKUWA AKITOA UTAMBULISHO KWA WAGENI WALIOHUDHURIA HAFLA HIYO. |
NYUMA YA PAZIA HAYA NDIO YALIO ONEKANA WAKATI WA ZIARA HIYO YA MKUU WA NCHI. |
NYUMA YA PAZIA. |
MKUU WA MKOA WA MWANZA NAYE ALIPATA FURSA YAKUTOA SALAM ZA MKOA. |
HAPA WANAPANDA MTI KWA UKUMBUSHO. |
DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA MABATINI LILILOJENGWA KWA FEDHA ZA KITANZANIA MILIONI 888.53 |
UZINDUZI WA DARAJA LA MABATINI MILONI 888.53 |
UKAGUZI WA BARABARA NA SALAM ZINAENDELEA NA KWA WANANCHI. |
SALAM KWA WANACHI. |
STANSLAUS MABULA MEYA WA JIJI LA MWANZA AKITOA TAARIFA KUHUSU MIPANGO YA MAENDELEO YA HALMASHAURI HIYO. |
HII KWAYA YA A.I.C MAKONGORO VIJANA, AMBAO WALIKOSHA MHE. RAIS HATA KUFIKIA HATUA YAKUOMBA KIKUNDI HICHO KIALIKWE WAKATI WA SHEREHE ZA UHURU TAREHE 09.12.2014. |
Post A Comment: