Katibu
Mkuu wa moja wa mataifa Ban Ki Moon anatarajiwa kuwasili nchini Uturuki
hii leo katika siku ya pili ya ziara katika mataifa yaliyoathirika na
mzozo nchini Syria.
Takriban
wakimbizi mia mbili elfu kutoka Syria wametafuta hifadhi Kusini mwa
uturuki. Wengi wanaishi katika kambi zisizokuwa na huduma muhimu.
Ban anatarajiwa kuzuru kambi moja kama hiyo na baadaye atafanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan.
Post A Comment: