Mama yake Brayant Sixbert akiwa anampa kampani mwanae katika kutayarisha keki.
Ni tarehe 26/12/2012: Siku ambayo Mtoto Brayant Sixbert Makelele alipoweka historia Nyingine katika maisha yake mara baada ya wazazi wake Kumpeleka kanisani na kubatizwa rasmi katika Kigango cha Nyasaka. Parokia ya Buzuluga Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, na baadaye kufuatiwa na Bonge la Party lililofanyika huko Nyumbani kwao Nyasaka Picha na habari  vyote na  Atley Kuni.

Mara baada Ubatizo Brayant alirejea Nyumbani tayari kwakuwakribisha wageni Waalikwa
Shangazi akijinoma noma na Mamisosi ya Nguvu kwenye Ubatizo wa Brayant Sixbert Makelele
Kuna wasaa ilibidi Tuhamie Ndani kufuatia kufuatia Mvua ilyoleta Baraka
Mama yake Brayant hapa akiwa ana kamua taaratiiibu kwenye Ubatizo wa Mwanae.
Kuna wasaa ilibidi Tuhamie Ndani kufuatia kufuatia Mvua ilyoleta Baraka
Karibuni Shoda waungwana. Maneno ya Brayant Makelele..
Axact

Post A Comment: