Hatua mbalimbali iliyofikiwa ya ukarabati wa Jengo la Ofisi za Utawala za
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililopo Mjini Dodoma ambapo hivi
karibuni Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete alifanya ukaguzi wa Ukarabati wa Jengo hilo na kurudhishwa na kasi ya
Ukarabati huo unaofanywa na Jeshi la Magereza kupitia Kikosi chake cha Ujenzi
kilicho chini ya Shirika la Magereza.
|
Post A Comment: