Gari la kubeba pombe ya aina ya ulanzi ikitoka kupeleka pombe kilabuni katika Kitongoji cha Mapanda Kijiji cha Nduli, Manispaa ya Iringa mkoani Iringa. Imeelezwa kuwa pombe hiyo ni chanzo cha wananchi wengi kutoshiriki katika maendeleo kutokana na kuanza kunywa mapemma asubuhi. Hapo awali Kata ya Nduli ilikuwa ni sehemu ya Wilaya ya Iringa Vijijini, lakini kutokana na kupanuka kwa mipaka ya manispaa, kata hiyo imechukuliwa sehemu ya manispaa. (Picha na Friday Simbaya


ulanzi_04154.png












LANZI BWANA.

Axact

Post A Comment: