.Zilikuwa ni saa 3 tatu baina ya machinga wanaopanga hovyo katika ya Jiji na Polisi Mkoani Mwanza
wakati wakiwaondoa watu hao katika maeneo ambayo yamezuiliwa kufanya biashara, kuninews ilishuhudia Polisi wa kutuliza ghasia wakilazimika kutumia mabomu yakutoa Machozi ili kutuliza ghasia zilizo zuka
 
Katika hatua nyingine wafanya biashara hao wametakiwa na jeshi la Polisi Mkoani humo kwenda kwenye maeneo waliyopangiwa kwa ajili ya kufanya Biashara, akizungumza na waandishi wa habari kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Christopher Fuime amesema ni lazima kila mmoja kuishi kwa kutii sheria " lazima tuelewe kwamba Nchi hii ni nchi ya Utawala wa kidemokrasia na kila mtu anaruhusa yakufanya chochote lakini sio kwa kuvunja sheria"
 
Fatilia picha zaidi hapa chini kwa msaada wa G. Sengo. 

MWANDISHI WA MWANANCHI JIJI MWANZA IDAN MHANDO AKIWA ANANAWA MAJI BAADA
YA BOMU LA KUTOA MACHOZI KULIPULIWA.

 
Fatilia picha zaidi hapa chini kwa msaada wa G. Sengo.











 




Tupe maoni yako
Axact

Post A Comment: