Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za mikoa (TAMISEMI) Hawa Ghasia, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kuzungumza. |
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, wakati akihutubia. |

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo baada ya kufungwa rasmi. |

Post A Comment: