Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. John Mongella, akikagua moja mashine katika Kiwanda cha ngua MWATEX
 
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, ameuagiza uongozi wa kiwanda cha kusindika ngozi ghafi cha African tanneries kuhakikisha kinafanya kazi ndani ya miezi sita ijayo ili kutekeleza azma ya Serikali ya awamu ya tano ya  kuwa nchi ya Uchumi wa kati na yenye viwanda vitakavyotoa ajira kwa watanzania.



 Mongella alitoa kauli hiyo mkoani hapa mara baada yakutembelea kiwanda hicho cha enzi za Hayati baba wa taifa na kukuta kimegeuzwa kuwa Ghala la kuhifadhia mitambo ya kampuni ya CASPIAN. Isome Zaidi www.mwanza.go.tz
Hii ndio Sehemu ya Daraja la Furahisha na hatua lilipofikia, Mkuu wa mkoa akiwa anongozwa na Mhandisi mjenzi.
 




Moja ya Vitenge vinavyo zalishwa na Kiwanda cha Nguo MWATEX Mkuu wa Mkoa hapa akifanya Ukaguzi.
 
 
Axact

Post A Comment: