Mkuu wa mkoa wa Mwanza kukutana na waandishi wa habari tar 29-Desemba-2012 Muda 6:25:00 AM Upcoming events, Mkuu wa mkoa wa Mwanza. Eng. Evarist Ndikilo anatarajiwa kukutana na kuzungumza na waandishi wa habari wote mkoani Mwanza tarehe 29-Desemba-2012 kuelezea juu ya taarifa ya mkoa kuhusu maendeleo na changamoto mbalimbali. NextNewer Post PreviousOlder Post Upcoming events
Post A Comment: