Ni mtu ambaye kwa namana moja au nyingine alinifanya Mimi kusomea taaluma ya Habari
Na kama ungepata wanataaluma ya habari nani alikuwa kinara wako aliye kusukuma kuwa Mtangazaji, Mwandishi au mzalishaji wa vipindi basi Uncle J. Angekuwa mmoja ya watu ambao wangepata msururu wa watu, ni mtu aliye ifanya kazi yake kwa kuipenda sana, pengine Mchango wake ni zaidi ya wengi wanavyi zani
Daima Nyaisanga ataendelea kukumbukwa kwa Sauti yake ya pekee na yenye mvuto kwa wasikilizaji, Alipata kuendesha vipindi kama Kijaluba show akiwa RTD, Hizi nazo akiwa Radio one, lakini sauti yake kwenye habari ama kwa hakika ilikuwa na mvuto wa aina yake.
Kama mmiliki wa Blog hii naungana na Watanzania wenzangu katika wakati huu Mgumu.
MUNGU ILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA NYAISANGA. AMEN.

Post A Comment: