Hapa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akipanda juu ya Tanki la maji Wilayani Kwimba kwa ajili ya Ukaguzi.
Kukamilika kwa tanki hili kutawezesha kusambaza maji katika Mji wa Kwimba na Viji vya Jirani, Ukisikia BRN ndio hii sio maneno ni Vitendo.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza akiwaunga mkono wakulima hawa kwa Vitendo, hapa ilimlazimu kutumbukia kwenye Shamba la Mpunga kwa ajili ya kuwaunga mkono wakulima wa Mahiga, Kwimba.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akisaini kitabu cha wageni huku picha ya pili
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Seleman Mzee akiwa anasoma taarifa ya Wilaya.


Bibi Christina Makula akisoma taarifa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
wakati Mkuu huyo wa Mkoa alipo tembelea katika Kijiji cha Kilyaboya.
akiwa shambani hapo Mkuu huyo wa Mkoa aliagiza kupelekwa kwa dawa za
kuuwa wadudu kwa wakulima.


Watoto Walioripoti tangu shule ya Sekondari Walla kufunguliwa.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza mara baada ya kukagua Mradi wa maji katika Tarafa ya Ibindo
Mradi huu utakapo kamilika utawawezesha wananchi kupata maji ndani ya Mita 400 kama sera inavyotaka.

Baadhi ya Wananchi wakiwa wana Msikiliza Mkuu wa Mkoa alipokuwa
akihutubia kwenye mkutano wa hadhara katika Tarafa ya Ibindo.


Axact

Post A Comment: