Waziri Sitta akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake katika Bunge la Bajeti jana linaloendelea Jijini Dodoma. |
Waziri Sitta pamoja na Naibu wake Mhe. Abdulla Juma Abdulla wakifuatilia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Ushirikiano jana Bungeni Dodoma. |
Baadhi ya Wabunge wa EALA wakifuatilia mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano jana Bungeni Dodoma |
Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Abdulla Juma Abdulla akijibu hoja za wabunge kuhusu Wizara yake wakati wa uwasilishaji bajeti jana Bungeni Dodoma |
Uongozi wa Wizara ya Ushirikiano katika picha ya pamoja mara baaada ya kupitishwa kwa Bajeti yao. (Picha zote na Maelezo na: Ofisa habari wa Wizara hiyo Antony Ishengoma) |
Post A Comment: