Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
![]() |
| ZOEZI ZA UKAGUZI WA MIZANI LIKIENDELEA |
Wakala wa Vipimo (WMA) wa Vipimo
Tanzania imeendelea na zoezi la utoaji wa elimu
pamoja na uhakiki wa mizani kwenye vyama
mbalimbali vya wakulima ( AMCOS)
Wilayani Masasi Mkoani Mtwara ikiwa ni maandalizi ya msimu wa korosho pamoja na
mazao mengine kama vile choroko, mbaazi pamoja na ufuta.
