August 2016
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
VIJARIDA VITOLEWAVYO NA WAKALA WA VIPIMO VIMEONEKANA KUWA MALI WAKATI HUU AMBAO MSIMU WA KUUZA KOROSHO UMEKARIBIA KAMA PICHA INAVYO JIONESHA WAKULIMA WAKISOMA KWA MAKINI KIPEPERUSHI CHA WAKALA WA VIPIMO.
WANANCHI KATIKA MKOA WA MTWARA WAKIWA WANFATILIA KWA KARIBU MAFUNZO YA NAMNA YAKUTUMIA MIZANI KATIKA MSIMU HUU AMBAPO WAKULIMA WANAJIANDAA KUUZA KOROSHO ZAO.


WANANCHI KATIKA MKOA WA MTWARA WAKIWA WANFATILIA KWA KARIBU MAFUNZO YA NAMNA YAKUTUMIA MIZANI KATIKA MSIMU HUU AMBAPO WAKULIMA WANAJIANDAA KUUZA KOROSHO ZAO

 
MTAALAM KUTOKA WAKALA WA VIPIMO TANZANIA ALFA MTUI  AKIWEKA MZANI SAWIA TAYARI KWAKUTOA MAFUNZO YANAMNA YAKUTUMIA MZANI HUO KWA WAKULIMA ILI WAKATI WAKUPIMA MAZAO YAO WASIPUNJWE NA WAFANYA BIASHARA WASIO WAAMINIFU.