October 2013
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Ni mtu ambaye kwa namana moja au nyingine alinifanya Mimi kusomea taaluma ya Habari
Na kama ungepata wanataaluma ya habari nani alikuwa kinara wako aliye kusukuma kuwa Mtangazaji, Mwandishi au mzalishaji wa vipindi basi Uncle J. Angekuwa mmoja ya watu ambao wangepata msururu wa watu, ni mtu aliye ifanya kazi yake kwa kuipenda sana, pengine Mchango wake ni zaidi ya wengi wanavyi zani

Daima Nyaisanga ataendelea kukumbukwa kwa Sauti yake ya pekee na yenye mvuto kwa wasikilizaji, Alipata kuendesha vipindi kama Kijaluba show akiwa RTD, Hizi nazo akiwa Radio one, lakini sauti yake kwenye habari ama kwa hakika ilikuwa na mvuto wa aina yake.

Kama mmiliki wa Blog hii naungana na Watanzania wenzangu katika wakati huu Mgumu.

MUNGU ILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA NYAISANGA. AMEN.Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII


Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa  kwa umma juu ya kuwepo kwa Ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo mkoani Rukwa.  Ugonjwa umedhibitika kuwepo baada ya Vipimo vya Maabara kuonyesha uwepo wa vijidudu vya homa ya uti wa  mgongo kwenye sampuli za wagonjwa waliolazwa kwenye Hospitali ya Mkoa Sumbawanga. Hadi kufikia tarehe 08/10/2013  jumla ya wagonjwa   21 wameripotiwa katika hospitali ya Mkoa na  kati yao  wanne ( 4) wamefariki dunia

 

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa tahadhari ya Ugonjwa huu kwa wananchi wote, katika mikoa yote ya Tanzania hususani mikoa iliyo mpakani na mkoa wa Rukwa na vile vile wasafiri wanaotarajiwa kwenda mkoani Rukwa.

 

 
HOMA YA UTI WA MGINGO YARIPOTIWA.

Homa ya Uti wa Mgongo inasababishwa na bakteria aitwaye Neisseria meningitidis. Bakteria huyu ndiye anayeleta milipuko mikubwa ya Homa ya Uti wa mgongo. Ugonjwa huu hatari unaathiri zaidi meninji na husababisha athari kubwa kwa ubongo. Ugonjwa huu unapatikana kwa binadamu tu. Asilimia 50 za wagonjwa hupoteza maisha iwapo matibabu hayataanzishwa mapema.

Dalili kuu ni Kukakamaa kwa shingo, Homa kali, Kutokupenda mwanga mkali, Kuchanganyikiwa, Kichwa kuuma pamoja na Kutapika. Ugonjwa huu unaweza kuathiri ubongo na kupelekea kupoteza uwezo wa kusikia au kupoteza kabisa uwezo wa kuelewa na kunyambulisha vitu mbalimbali. Iwapo ugonjwa huu utaathiri ubongo na meninje kwa kiasi kikubwa, umauti hutokea. Dalili za ugonjwa ni kati ya siku 2 hadi 10 baada ya kupata maambukizi.

Ugonjwa huu unaenezwa kutoka kwa binadamu kwenda kwa binadamu kwa njia ya hewa au kwa kugusa majimaji/mate kutoka kwa mtu ambaye tayari ni mgonjwa. Ugonjwa huu unaenea kutoka mtu mmoja hadi mtu mwingine kwa urahisi na kwa kasi sana iwapo mtu atakuwa karibu na mgonjwa mwenye maambukizi kwa muda mrefu. Uambukizo unaweza kutokana iwapo mgonjwa atapiga chafya au mate ya mgonjwa huyu kuguswa. Aidha kasi ya maambukizi pia inatokea iwapo mtu ataishi kwa karibu ndani ya nyumba moja na mgonjwa na kushirikiana naye kwa kula chakula kwenye chombo kimoja.

Ugonjwa huu unatibika iwapo mgonjwa atawahi hospitalini na kupewa dawa.

 

Hatua zinazochukuliwa na Wizara

 

  • Kutoa taarifa ya tahadhari ya ugonjwa huu kupitia kwa Waganga Wakuu wote wa Mikoa na Wilaya kwa Tanzania Bara hususan mikoa inayopakana na Rukwa. Aidha taarifa hii pia imewakumbusha waganga wakuu warejee miongozo yao ya kudhibiti Ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo yaani namna ya utambuzi wa mgongwa na, uchukuaji wa sampuli
  • Kuimarisha ufuatiliaji wa ugonjwa huu kupitia kwa Wataalamu wa Afya katika Mikoa, Wilaya na maeneo ya mipakani.
  • Kutuma Timu ya Taifa ya Maafa ambayo imeenda kuungana na timu za Mkoa na Wilaya za Rukwa katika kukabilana na ugonjwa huu. Aidha timu hiyo imeondoka tarehe 10.10.2013
  • Kutuma chanjo pamoja na dawa na vifaa Kinga kwa mkoa wa Rukwa ili kuweza kukabilana na ugonjwa huu
  • Elimu ya Afya  inaendelea kutolewa katika maeneo  ambayo yamekumbwa na mlipuko na pia mashuleni, vyuoni, magerezani, nakwenye mikusanyiko na msongamano wa watu. Aidha wananchi wanashauriwa kujenga nyumba bora zenye madirisha yanayoingiza hewa na mwanga wa kutosha
  • Kufungua kambi maalamu mkoani Rukwa kwa ajili ya wagonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo

 

Wananchi wanashauriwa kutoa taarifa pindi kutoa taarifa kwenye kituo cha huduma za afya kilicho karibu mara watakapoona mgonjwa yeyote atakayehisiwa kuwa na dalili za ugonjwa huu.

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Wadau wengine wanaendelea na mikakati ya kuhakikisha ugonjwa huu unathibiwa mkoani Rukwa na kwa mikoa mengine.

 

Nsachris  Mwamwaja -Msemaji

12 Oktoba 2013
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa, Oktoba 18, 2013, amezindua rasmi Kiwanda cha Kusindika Chai cha Ikanga, Tarafa ya Lupembe, Wilaya ya Njombe katika Mkoa Mpya wa Njombe.
 
Kiwanda hicho kinachomilikiwa kwa asilimia 25 na wakulima wa chai wa Lupembe ni ukombozi mkubwa wa wakulima wa Tarafa ya Lupembe ambao wamekuwa wanakabiliwa na ukosefu wa sehemu ya kuuza chai yao.
Ufunguzi wa kiwanda hicho cha Ikanga Tea Factory kinachomilikiwa na Kampuni ya Ikanga Tea Factory Limited ni utekelezaji wa ahadi ya Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati anafanya kampeni ya Urais katika Tarafa ya Lupembe mwaka 2010. Ni kiwanda kipya zaidi na bora zaidi cha kusindika chai katika Tanzania.
Ujenzi wa kiwanda hicho ulianza mwishoni mwa mwaka 2010 baada ya Serikali ya Rais Kikwete Mei mwaka huo huo kuiomba Kampuni ya Mufindi Tea and Coffee Limited (MTC) kujenga kiwanda cha kusindika chai ya wakulima ambayo sehemu yake kubwa ilikuwa inapotea na kuoza kwa sababu ya ukosefu wa kiwanda.
 
Ili kufanikisha ujenzi wa kiwanda hicho, MTC iliunda kampuni mpya ya Ikanga Tea Company Limited Septemba 2010. Kampuni hiyo ni ubia kati ya MTC na wakulima wa chai wa Lupembe ambao wanamiliki asilimia 25 za hisa za kiwanda hicho kupitia umoja wao wa Lupembe Tea Farmers Trust.
 
Uzinduzi wa leo ni awamu ya kwanza ya ujenzi wa kiwanda hicho. Chini ya awamu hiyo ya kwanza yenye uwezo wa kusindika tani 1,800 za chai kwa mwaka kwa kutumia njia moja ya uzalishaji iliyokamilika Juni mwaka jana kwa gharama ya Sh. bilioni 3.75.
Awamu ya pili ambayo inaendelea kujengwa, itagharimu Sh. bilioni 1.48 na ikikamilika kiwanda kitakuwa na uwezo wa kusindika tani 3,500 na awamu ya tatu na ya mwisho itagharimu Sh.bilioni 1.5 na kukamilika kwa awamu hiyo kutakiwezesha kiwanda kusindika tani 5,000 za chai kwa mwaka.
 
Chini ya uendeshaji wa Kiwanda hicho, chai yote ya wakulima inanunuliwa kwenye vituo maalum na kusafirishwa kwenda kiwandani na magari ya Kiwanda. Wakulima pia wanapewa mbolea kwa mkopo na wakulima wote wa chai inayochukuliwa na kiwanda hulipwa kila mwezi kwa bei iliyopangwa na Bodi ya Chai Tanzania.

Miongoni mwa mipango ya Kampuni ya Chai ya Ikanga ni kununua angalau hekta 600 za ardhi ili nayo ianze kulima chai ili kuongeza kiwango cha chai kinachozalishwa katika eneo la Lupembe na ukamilishaji wa shule kwa ajili ya watoto wa wakulima wa eneo la Lupembe.
 
Rais Kikwete amezindua Kiwanda hicho ikiwa ni shughuli ya kwanza katika shughuli nyingi ambazo atazifanya wakati wa ziara yake ya siku sita katika Mkoa wa Njombe kuzindua na kukagua shughuli za maendeleo. Miongoni mwa shughuli hizo itakuwa ni kuuzindua rasmi Mkoa wa Njombe.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
 
18 Oktoba, 2013

no image
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA                     
Kumb. Na. EA.7/96/01/E/18 04 Oktoba, 2013
KUITWA KAZINI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwaarifu
waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 06 hadi 18 Agosti , 2013
kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa
Waajiri kama ilivyooneshwa katika tangazo hili katika muda ambao umeainishwa
katika barua zao za kupangiwa vituo vya kazi. Wanapaswa kuripoti wakiwa na vyeti
halisi (Originals certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na Waajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.
Aidha, wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue
kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara nafasi za kazi
zitakapotangazwa tena.
NA MAMLAKA YA AJIRA KADA MAJINA YA WANAOITWA
KAZINI
1. KATIBU MKUU
OFISI YA RAIS
MENEJIMENTI YA
UTUMISHI WA UMMA
MCHAMBUZI
MIFUMO YA
KOMPYUTA II
1. TIBA R. MANONI
2. ZAWADI MUHIBU
3. PHANUEL EMMANUEL
4. MWANAIDI M. MWAMBA
5. MWAJUMA NAMKAA
MTAKWIMU II 1. ABASI RASHIDI
MCHAMBUZI KAZI II 1. WILIX A. MAHENGE
2. BELTILA FRIDOLIN MGAYA
2. MKURUGENZI WA
JIJI, HALMASHAURI
MLINZI II 1. JAPHET J. PASCHAL
MHANDISI MSANIFU
MAJENGO II
1. CHRISTOPHER
NYAMVUGWA
2
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
YA JIJI LA MWANZA.
FUNDI SANIFU II UJENZI
1. GODFREY C. MNGALE
2. SHIUS S. LUBEZAGI
3. MAHONA NJIGELA
3.
KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
1. FROLA JOSEPH MPANJI
4.
KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA
KATIBU MAHSUSI III
1. SALIMA RAMADHANI
2. MONICA MWAKYUSA
3. VELIDA MALILA
MHASIBU MSAIDIZI
1. MAJUTO MASUMBO
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
1. REHEMA M. MAJINGO
5.
KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA WA GEITA
MHANDISI II MAJI
1. IDDI MAGOTI
2. SALUMU HAMISI
AFISA MIPANGO MIJI II
1. HUZURIA HEBRON
MSAIDIZI WA OFISI
1. PAUL ERNEST NDAGIJE
2. MAGRETH NYANDA
3. PATRICK FRANCIS
4. SILVANUS NDIRABIKA
5. TEGEMEO KAMNA
MPIMA ARDHI II
1. CHARLES SAGUDA
MHANDISI II NISHATI
1. ZUWENA BAKARI
MTAKWIMU II
1. RAYMOND ILANDA MAJENGO
MCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA II
1. PETER CHARLES MAGOIGA
FUNDISANIFU II URASIMU RAMANI
1. MAKOKE W. WEBIRO
AFISA USHIRIKA II
1. LILIAN ALFRED
3
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
6.
KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA WA IRINGA
FUNDISANIFU II UJENZI
1. MZEE THOMAS
MPIMA ARDHI II
1. CAHNDE KENETH
2. MAKUKA MKASA
7.
KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA KATAVI
AFISA MISITU II
1. AUGUSTINE MATHIAS
AFISA MIPANGO MIJI II
1. MASANJA FELICIAN
AFISA SHERIA II
1. EDWARD KENYUNKO
KATIBU MAHSUSI III
1. PESNESS J. MUHAMILA
8.
KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA WA MANYARA
AFISA TARAFA II
1. DEOGRATIAS PATRICK
9.
KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA MARA
KATIBU MAHSUSI III
1. EDITHA MELCHIAD
2. ZUBEDA YAHAYA SAIDI
10.
KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA MOROGORO
AFISA MIPANGO MIJI II
1. DICKSON S. KUSEMBA
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
1. BASILA G. MSEKE
AFISA TARAFA II
1. LUCAS KILAKOI
11.
MKURUGENZI MKUU SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA (KEC)
MHANDISI MKADIRIAJI UJENZI II
1. FRED KAMBI
AFISA UGAVI MSAIDIZI
1. GRACE J. MATAGI
MSAIDIZI WA OFISI
1. ATANAWE ABDALLAH
2. HABIL D. MWANYIRO
12.
KATIBU TAWALA (M)
AFISA MISITU II
1. RONALD PANGAH
4
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
OFISI YA MKUU WA MKOA WA MTWARA
KATIBU MAHSUSI III
1. REHEMA A.CHARLES
2. REGINA W.HAULE
3. MWANAHERI ABILAHI MMALALA
4. MWASITI H. KWAO
13.
KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA WA MWANZA
KATIBU MAHSUSI III
1. LIGHTNES JAMES
2. CHRITINA PHILIPO
3. SCORASTICA STANSLAUS
4. PENDO C. KAFWEMBA
5. GRACE CHAGULA
6. MARIA KAHILA
7. AGNES AUGUSTINE
MTAKWIMU II
1. SUZANA NDUNGURU
14.
KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI
MHANDISI II UJENZI
1. SUNDAY BOAZ
FUNDI SANIFU II UJENZI
1. MEVUKORI MOIKANI
KATIBU MAHSUSI III
1. ASHA JUMA
DEREVA II
1. THOMAS TUWENE NYANGINYWA
2. BAKARI S. BAKARI
3. ISIKE THABIT
4. MSAFIRI E. WAMBURA
5. OBEDI MWANJEKA
MHANDISI MSANIFU MAJENGO II
1. MUSHI FELICIAN
MHANDISI MKADIRIAJI UJENZI II
1. JUDITH V. ARON
15.
KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
KATIBU MAHSUSI III
1. NIWAHERI J. MBULI
2. MARTHA MUYANGO
3. CHRECESIA C. MALEMBELA
4. GLORIA WILLIAM MSHANGA
5
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
MSAIDIZI WA OFISI
1. JOHN MELKIORY
2. YAHAYA ABDALLAH KAPALATU
3. ACHENI T. NDULE
MLINZI
1. ISACK EDWARD MANDE
2. SAMWEL ANDREA MSEKWA
3. CHAUSIKU JUMANNE MAYALA
4. SAUM M. MEJA
5. EVAN M. KASHAIJA
16.
KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA
MHAKIKI MALI II
1. 1. MOHAMMED OMARI
2. 2. HAJI S. HAJI
3. 3. GEORGE KILLO
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
4. 1. MAIMUNA OMARY
5. 2. AGNESS K. PHILIP
MCHUMI II
6. 1. DAVID JOHN KIJAZI
7. 2. STEPHIN PETER
17.
KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
MTAKWIMU II
1. WENDE CLARENCE SAFARI
MLINZI
1. SIMAI MCHANO HAJI
FUNDI SANIFU II UMEME
1. LWEGAN A. NGAJILO
18.
KATIBU MKUU WIZARA YA KAZI NA AJIRA
KATIBU MAHSUSI III
1. NIKU MWAKABALILE
2. YUNES CHACHA MKAMI
19.
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA
MHANDISI II UJENZI
1. NYAIKOBA M. NYAIKOBA
20.
KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA
AFISA UTUMISHI II
1. ASHA HAJI MGALLA
KATIBU MAHSUSI III
1. ANNA BARAKA
2. HAWA D. YUSUPH
6
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
MIFUGO NA UVUVI
3. LINDA ELIBARIKI
MSAIDIZI WA OFISI
1. FLORENCE BONIFACE
2. ROSE CHANKICHA SENKORO
FUNDI SANIFU II (UFUNDI)
1. RAMADHANI S. MGANGA
NAHODHA II
1. EMANUEL L. MLAGALA
2. YUVENAL MASWERTUS
3. WILLIAM JAMES MGUHI
4. NASIBU YASINI SABU
21.
KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI
FUNDI SANIFU II UJENZI
1. GERALD ITIMBULA
2. TUMUSHERURE ROBERT
3. AGRIPINA GEOFREY
4. PASCHAL J. QUTAW
5. ZACHEO Y. JOHN
6. SIXMUND TITO
FUNDI SANIFU HYDROLOJIA
1. MANENO IDDY NGUVA
2. JEROME JOSEPH
FUNDI SANIFU HYDROJIOLOJIA
1. PASCAL KIBOKO
2. HERMAN M. FAUSTINE
3. HERRY MWEGIO
4. ANDERSON ERNEST MJEMA
5. ARODIA G. ALEX
MHAIDROLOJIA
1. ISABELA TENGANIZA
2. MAPAMBANO MABURUGI
22.
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
KATIBU MAHSUSI III
1. THERESIA A. KILAWE
2. FARIJI NGULUBE
7
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
MLINZI
1. JONAS JAMES BUTATI
23.
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
KATIBU MAHSUSI III
1. CHAUSIKU YAKUELI IBRAHIM
24.
KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI
MTAKWIMU II
1. ROBERT JOSTA
8.
MJIOLOJIA II
1. EZEKIEL SENI
2. PHILIMON M. JAMES
3. DANIEL EDWARD
4. JIDUTA MAKENA
5. FABIAN MSHAI
6. AMIR CHANDE
7. KALORY JOSEPH MMASY
8. GRACE GODFREY
DEREVA II
1. AYOUB A. MWAKANYAMALE
2. YONA FALES MUGENE
3. JACKSON E. TEMBA
4. JAFARI Y. NAMKUNAWA
MCHUMI II
1. VERA SIKANA
MPIMA ARDHI II
1. SUNDAY JACKSON
MCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA II
9. 1. HENDRY HERMEGILD
AFISA UGAVI II
1. SALUM HAMADI KAZUKAMWE
2. ZGHOMBO J. CHINULA
FUNDI SANIFU II MIGODI
1. ABDALAH MWAKINGIDO
2. ASHEN DAUDI
3. MUSIMU KABASA MANYEGE
8
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
4. MRASHI MOHAMED
5. ARON R. RUTURAGARA
6. DENNIS S. MRENGO
MLINZI
1. CLEMENCE L. MDINDILWA
2. KASTO MARTIN
3. EDIUS CROSPERY RWEYENDELA
4. ASELA JOHN
10. 5. NELSON JOHN NDUNGURU
5. HUSNA HASSAN SAID
6. GODWIN ELIAS BUBELWA
7. MCHUMI SALUM
8. KASSIM R. KAYANDA
MHANDISI II MKUFUNZI MIGODI
1. REUBEN JOSEPH MDOE
25.
KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI
KATIBU MAHSUSI III
11. 1. GRACE M. MPONJI
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
12. 1. REBECCA CHARLES
26.
KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
MCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA II
1. NEHEMIA ELIA WAYA
MTAKWIMU II
1. BEATRICE NGATA
MPIMA ARDHI II
1. CLEOPA A. NGOYE
MHANDISI MSANIFU MAJENGO
1. EMMANUEL BUSANYA
AFISA MIPANGO MIJI II
1. AWADHI A. RAJABU
27.
KATIBU MKUU WIZARA YA USHIRIKIANO WA
MSAIDIZI WA OFISI
1. MARYSTELLA V. LEMA
9
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
AFRIKA MASHARIKI
28.
KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
KATIBU MAHSUSI III
1. LATIFA SHAMTE
2. NAOMI J. MBULLA
MLINZI
1. GODFREY KETOKA CHACHA
2. MONICA MASAWE
29.
AFISA MTENDAJI MKUU WAKALA WA NDEGE ZA SERIKALI (TGFA)
KATIBU MAH SUSI III
1. FLORA MAGWE KIBAMIZI
30.
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI
AUDITOR II
1. KELVIN AMOS
31.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. HAPPINES J. KIAGA
2. HAPPINES G. SAILALE
3. IDDI H. IDDI
4. GINACHA G. GAMASA
5. IMELDA MSUYA
6. TITUS ANTHONY
7. MARTIN S. LAIZER
8. EMANUEL FABIAN TARIMO
KATIBU MAHSUSI III
1. VICTORIA S. MGHASE
32.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA BAHI
FUNDISANIFU II UMEME
1. CRECENSIAS S. MANG'OKA
FUNDISANIFU II UJENZI
1. SAMUEL ANATORY
2. SALUM DUMA
3. JOHN CHALULA
33.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA
FUNDI SANIFU II (MAJI)
1. EMMANUEL M. CHARLES
34.
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
AFISA MTENDAJI
1. HAPPINESS P. PESSA
2. ANDREW SPILA
10
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHAMWINO
KIJIJI III
3. KARLES LEGANYA
4. NEEMA DAUD SIMANJILO
5. GEORGE S. MZULI
6. GELLE S. TAMBA
MLIZI II
1. NEEMA JOSEPH CHEDEGO
2. ABIAS AMON MABANA
DEREVA II
1. ELVIS FRANK MDAHE
2. JUHUDI MRISHO
35.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA HANANG
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. JUMANNE KILONGO
AFISA USHIRIKA II
1. JUMA HUSSEIN CHALEMA
MHASIBU MSAIDIZI
1. GEOFREY DIDAH
36.
MKURUGENZI WA MANISPAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA ILEMELA
AFISA UFUGAJI NYUKI II
1. MAKEMIE J. MABULA
2. PERPETUA S. MOYO
AFISA MISITU II
1. SIMON PETER
MVUVI MSAIDIZI II
1. ALFA ERNEST
2. CECILIA KIMARO
37.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. NOEL M. ATHANAS
2. EDDA G. JEREMIA
3. THERESIA B. MGAO
38.
MKURUGENZI WA MANISPAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
MPIMA ARDHI II
1. JELAS ARNOLD
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. AMOS MIKAO
39.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA KARATU
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. DENIS MICHAEL
11
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
40.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI
MCHUMI II
1. RAYMOND MASSAWE
AFISA MAENDELEO YA JAMII II
1. AQUILINA XAVERY
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. MUHSIN ABDALLAH SEMTELO
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
1. PRISCA SALUM
41.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. FRANCIS KISHABI
2. GABRIEL KANONI
3. KAFUPI JUMANNE
4. THOMAS NYONYO DOMINICK
5. JANE LAURENT TUNGU
6. SEIF KATONGA
FUNDISANIFU II UMEME
1. HATIBU A. NYUNDO
AFISA MIPANGO MIJI II
1. MWIZARUBI MWIZARUBI SELESTINE
MPIMA ARDHI II
1. NTUNGURU, PAUL
FUNDISANIFU II URASIMU RAMANI
1. KADO S. MASHINJI
AFISA UGAVI MSAIDIZI
1. ERASMUS K. KATABAZI
42.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA KITETO
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. MARY JACKSON SENDUI
2. OSWARD DAMAS MAQWAYA
3. LEONCE CHRISTOPHER GAMBAY
4. NEEMA TEMBA
KATIBU MAHSUSI III
1. UPENDO KWAY
2. VUMILIA KASSIMU
12
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
43.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA KONDOA
AFISA MTENDAJI KIJIJI II
1. LUKA D. CHODOTA
2. BARAKA HUDSON KIWIA
3. KINDULI JUMANNE
44.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA KONGWA
MPIMA ARDHI II
1. EZEKIEL S. SANDA
45.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MAFIA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. MWAJUMA ALLY MIKUMBO
46.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU
MVUVI MSAIDIZI II
1. JACOMINA J. NTUNDU
MHASIBU II
1. BONIPHACE GERVAS JANGA
47.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MASASI
AFISA MTENDAJI KATA III
1. GRACE EMMANUEL UGULUMU
AFISA MTENDAJI KATA II
1. EMMANUEL D. KABEYA
2. REHEMA YUSUFU
3. NELSON JOHN
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. EPIFANIA J.MUHAYA
2. GETRUDA P.MSOFE
3. RAMLA M.LWIZA
4. REDENTA .A. MKONGWA
5. BARAKA LUCAS CHAUNGA
6. FARAJI SAID BAKARI
7. NAOMI R. MADEJE
8. JACKSON KENNAN
9. MARIANA Z. CHIEF
MTHAMINI II
1. ALLY SHABANI
13
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
MHANDISI II UJENZI
1. WILLIAM TIGAHWA
AFISA MAENDELEO YA JAMII II
1. HASHIM MAPINDA
AFISA USHIRIKA II
1. EZRA O. SHANDU
MHASIBU MSAIDIZI
1. JOSEPH KOI
2. CLEOPHACE EUSTADIUS
FUNDISANIFU II UMEME
1. RAPHAEL HERMAN MPOKWE
48.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA
AFISA MTENDAJI KIJIJI II
1. FELISTER J. NYAKASONGA
2. PAULO PAULO
3. ASHA RASHID
4. FRANCIS KIYAGI
5. SUZAN J.KILOWOKO
6. KASIAN GEROLD KAPINGA
7. IGNAS HAULE
8. MAGRETH NDUNGURU
9. OLIVER KOMBA
10. LAURENSIA KAPINGA
11. SAMORA KOMBA
12. HUSUNA K. CHIPONDA
13. ISAAC J. KUMBURU
14. MWAJUMA MATILY
15. EDWARD ALUKO
16. FATNA KADEGE
AFISA MTENDAJI KATA III
1. MONICA MWALONGO
2. ORESTA K. NDUNGURU
3. ELIAKIMU MNG'ONG'O
KATIBU MAHSUSI III
1. JOYCE ANTHONY HYERA
MSAIDIZI WA OFISI
1. ZUBERI R. MSHAM
49.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. ENEZAEL YONA
2. HONEST LEONARD
3. GIFT BONIE MATHO
14
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
WILAYA YA MBULU
4. JACKSON KENAN
KATIBU MAHSUSI III
1. MARIAM A. GALU
2. SOPHIA J. MOHAMED
50.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MKURANGA
FUNDI SANIFU II MAJI
1. HAMISI MUSTAFA
51.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI
AFISA MTENDAJI KATA II
1. HERIETH RUGALABAMU
2. EMMANUEL MARWA WAMBURA
3. SIKUDHANI JASSON
4. VIOLETH M. KIMARIO
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
1. CATHERINE KIGOSI
FUNDI SANIFU II UJENZI
1. ADRIAN KAYOMBO
2. PETRO ZAHORO
FUNDI SANIFU II MAJI
1. GLADNESS G. MALISA
MSAIDIZI WA OFISI
1. AMAN ELNURU MBOGO
MCHUMI II
1. SUBIRA ISMAIL
MHASIBU II
1. DEMETUS MWAMHANGA
MHASIBU MSAIDIZI
1. DAVID YESAYA MWAMLENGA
AFISA WANYAMAPORI II
1. WALTER E. MACHA
2. FRANK S. MOSHI
AFISA MTENDAJI KIJIJI II
1. CATHERINE TERRY
MSAIDIZI WA OFISI
1. EMMANUEL PATRICK
2. STEVEN KAULI
15
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. MARIANA C. NYONI
MSAIDIZI MISITU II
1. MWAJUMA R. ALLY
52.
MKURUGENZI WA MANISPAA, HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO
FUNDI SANIFU II UJENZI
1. BONIFACE JOHN
2. MAJIJA S. IZENGO
53.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MTWARA
AFISA WANYAMAPORI II
1. SIKUJUA MWAPINGA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. RAMADHANI S. SAIDI
2. KHADIJA ABDALLAH
3. FAUSTINA KAZAEL MSUYA
4. CONSTANTINE MAYENZE
5. DENATUS B.BYAMUNGU
6. DUDU MAKULALA M.
7. FIKIRI MHOJA
8. SALUM PASCAL
9. BAKARI SHABANI BAKARI
10. HAPPYNESS Y.JUMAPILI
11. DANIEL EMANUEL
12. MUSTAPHER MUSA MLANGO
13. NEEMA KAMUGISHA
14. OSCAR LEONARD KADA
15. OTHILIA SANGANA
16. GRACE MARKUS PONERA
17. EDINA F. MKANGO
18. RESTUTA R. MKANGO
19. NEEMA C. KINYANYANO
20. CHIPEGWA U. CHISONJELA
21. LYDIA G. MAKASI
22. ESTER J. KAMUSI
23. ALEX PIUS
16
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
24. ZUHURA F. JIMBA
25. BELIA GIDION
26. GEORGE S. MZULI
27. ESTER A. MALOPA
28. KHADIJA SULEMAN MLEKWA
29. FELISTER E. KILASA
30. RUKIA HAMISI MRISHO
31. MICHAEL B. HUGO
32. WILLY KIVIKE
AFISA MTENDAJI KATA III
1. ERNEST KUNJA
2. MAGDALENA MAGUNGU
3. DONALD G. MWANGASA
4. ADAM N. JOSEPH
MCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA II
1. YUSUFU DAUDI
MLINZI
1. RAJABU S. NDETE
54.
MKURUGENZI WA MANISPAA, HALMASHAURI YA MANISPAA YA MTWARA MIKINDANI
AFISA MTENDAJI WA MTAA III
1. NAPENDAELI B. MSANGI
MSAIDIZI WA OFISI
1. TUPONE PATSON
55.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MULEBA
FUNDI SANIFU II UJENZI
1. PIUS M. MALEGESI
2. SIMON MTUKA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. EDRICK FRANCIS
2. RES PICIUS BYANWELI
3. SAXTUS KAZOBA
4. ALDA ELIAS
5. CLEZENSIA ADOLPH.
6. KAMUGISHA ELIUS NSIMA
7. IBRAHIM BARAKA MUHERERE
8. ANAGRACE BARUGO
17
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
9. EDWIN EDWARD JOSEPH
10. KAGOROBA NASHON DAMAS
11. MAGRETH PETER
12. DAVITA JOAS RWAKABULE
13. GRACE MASALA
14. LAMECK CHACHA
15. VEILA E. PHINIAS
16. ANOLDI KASMIRI
17. THEREZA LAZARO DAVID
18. MEIMUITE SIMON
19. VICTOR BALTAZARY
20. MAJURA SAMWELI
21. BORA MANYAMA
22. HAMIS NGUSSA HASSAN
23. JAMES D. MJARIFU
24. ULIMWENGU RICHARD
25. STELIA STEPHANO
26. NICHOLAUS PASCHAL THEOPHIL KISAMAKI
27. BALIYEGUJE RAYSONE JUSTINE
28. EDWIN R.BIZOZA
29. HAKIZIMANA AMONI
30. RIDHAEL ELISAMEHE
MVUVI MSAIDIZI II
1. EVANCE P. KINANGA
KATIBU MAHSUSI III
1. ELIZABETH BAGEGE
56.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MVOMERO
AFISA MTENDAJI KATA III
1. JOYCE JOEL
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. ALEX J. RICHARD
2. FRANK M. LUHENDE
57.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA
AFISA MTENDAJI KIJIJI II
1. MOHAMED SAID
2. SIPORA THADEI MWAKALINGA
18
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
WILAYA YA NAMTUMBO
58.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU
MPIMA ARDHI II
1. LUCAS MBILINYI
AFISA MTENDAJI KATA II
1. REBECA RUKANDA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. SAIDI R. LEMU
2. LENA MWAMPULA
3. MERCY C.RUKULE
4. HADIJA M. SINANI
5. JANETH ISSA
6. ALLY JUMA MPELI
7. HADIJA B. NG'OMBO
8. SAIDY ISSA MPUTA
9. PAUL G. CHIHOVACHI
10. HARUNA J. AMRAN
59.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO
AFISA MTENDAJI KIJIJI II
1. CLEOPHACE MAHUMA
2. JAMES LUSINDE
3. LUCIANA LAZARO NDOSSI
4. EMMANUEL DAVIDSON
5. SHAMIM HUSSEIN BATENGA
6. MONICA RICHARD
7. LILY LUCAS
8. NALIETH HOMBO
9. MARIAM A. IBRAHIMU
10. ANNA COSMAS
11. ZAKARIA A. YEREBI
12. VIOLETH G. MSOKA
13. BEATRICE FRANCIS MLOLERE
14. ANTUSA DIDAS MUSHI
15. HELLEN O.MCHOME
16. MONICA JAILOS
17. EMMANUEL G.MADEJE
18. KIBORA WAZEE KIBORA
19
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
AFISA MTENDAJI KATA III
1. RIZIKI ABELY
2. ROSE ARON
3. ADELINA PETER MROSSO
60.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA NZEGA
MPIMA ARDHI II
1. YUSUFU HARUNA
MTHAMINI II
1. JULIUS CHARLES MASUNGA
61.
KATIBU TAWALA (M) OFISI YA MKUU WA MKOA TABORA
MPIMA ARDHI II
1. MATATA JANUARIUS
MLINZI
1. NDYETABURA EDMUND
62.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA SENGEREMA
AFISA MISITU II
1. NDILE ALIKO
MTHAMINI II
1. LILIAN K. MWESIGA
MHANDISI MKADIRIAJI UJENZI II
1. IAN NYEME
FUNDI SANIFU II UJENZI
1. KAHABI MOSSES
2. SAMU MHECHI
3. FILBERT M. BISEKO
FUNDI SANIFU II MAJI
1. GLADNESS G. MALISA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. MARIAM JACKLINE MUGUNDA
2. ELIZABETH JOSEPH GADIYE
3. BARAKA THOBIAS
4. PHILIBERT J.
5. BALUGAHARA
6. HAPPYHINIA R. DAMIAN
7. FURAHA BAHATI
8. SALOME JOEL
9. EMILY ELIZEUSY
10. JOHN S. MWANGA
11. HAPPYNESS F. NSURI
12. EMMANUEL ALPHONSE
20
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
63.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. SAMWELI ABEL KIAMBAKI
2. DANIEL MTASIGWA
3. SATO JOHN MAYUNGU
4. IRENE D. MSHANDITE
5. NEEMA MICHAEL
6. ZAINA OMARY
7. SHIDA TALANDE SIYENGO
8. MONICA MUSSA
9. ELIMINATHA M. ANDREW
10. DICKSON BENEZITH DAMIAN
11. TAUSI SIMON KABADI
12. JACKSON JOSEPH
13. KULUTHUM SELEMANI
14. DATIUS JOHN
15. PASCHAL CHIBWA
16. 16. SHADRACK M. MALANDO
17. DEOGRATIUS D. KADUSHI
18. AGNESS A. NDIMGWANGO
19. DOTTO MIRAJI
64.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA SIMANJIRO
FUNDI SANIFU II UJENZI
1. JOSEPH CHARLES
2. JULIUS FESTO
MHANDISI II UJENZI
1. IRENE JAMES
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. YUDA THADEI HAMIS MSANGI
2. SHANGWE Y.SOHAY
MCHUMI II
1. LINUS AFRICAN MBOYA
65.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA
MCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA II
1. JOHN LUOGA
FUNDI SANIFU II (MAJI)
1. JUMANNE ALPHONCE
21
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
66.
MKURUGENZI WA MANISPAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SONGEA
AFISA MTENDAJI KATA III
1. FARIDA KAMBO
MPIMA ARDHI II
1. LUPANDISHA ISAACK
FUNDISANIFU II UJENZI
1. DAMIAN J. KULLAYA
2. ATHUMANI LIKUNGUMWIKE
FUNDISANIFU II HYDROJIOLOJIA
1. DAVID RAYMOND MBAGO
67.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA TABORA
MTAKWIMU II
1. ANIFA EMSI
68.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA TANDAHIMBA
AFISA MTENDAJI KATA III
1. MOHAMED A. BUSHIRI
2. JANETH WILBARD KAWICHE
3. BENARD JOHNSON ASIAH
69.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO
AFISA MIPANGO MIJI II
1. CHARLES ALAN MTAMBO
AFISA MISITU II
1. MUSSA SIMION DAMALU
MSAIDIZI MISITU II
1. MBESHI JACOB
MHANDISI MKADIRIAJI UJENZI II
1. MASHALA MBOJE
70.
MKURUGENZI MKUU,
MAMLAKA YA EPZA
KATIBU MAHSUSI III
1. SAKINA D. CHAMSHANA
71.
MKURUGENZI MKUU SHIRIKA LA TAIFA
AFISA MASOKO II
1. ALBERT MBOTO MWAKISOLE
22
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
LA UTANGAZAJI (TBC)
MTUNZA KUMBUKUMBU MSAIDIZI II
1. FAUSTINE A. ILOMO
MHASIBU II
1. LABAN LASTON
2. JOHN JEDDY
MHANDISI II UMEME
1. BAYNITT KILINDO
72.
MKURUGENZI WA MANISPAA HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA
MCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA II
1. MSEKWA MBWELWA
FUNDISANIFU MSAIDIZI MAJI
1. ADAM NGAKONDA
LIBRARIAN ASSISTANT
1. WEMA ALEX MINJA
73.
MKURUGENZI WA JIJI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
AFISA UTUMISHI II
1. EDSON E. MHENDZI
2. MOSHI HAMISI PONERA
74.
MKUU WA TAASISI, TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT)
DEREVA II
1. USWEGE METRA MWAKATUMA
2. JOSEPH MATHIAS
75.
MTENDAJI MKUU WAKALA WA MBEGU ZA KILIMO (ASA)
AFISA UTUMISHI II
1. HAWA GODIGODI
MSAIDIZI WA OFISI
1. STEVEN KAULI
2. MODESTA C. KABISA
MKAGUZI WA HESABU WA NDANI II
1. LAURIAN ALFRED
AFISA UGAVI MSAIDIZI
1. STEPHEN J. SLAA
2. FREDY KINYUNYU
23
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
MHASIBU MSAIDIZI
1. MARIA SELEMANI SHISHIRA
76.
MTENDAJI MKUU WAKALA WA BARABARA TANZANIA (TANROADS)
FUNDI SANIFU II UJENZI
1. SALUM DUMA
KATIBU MAHSUSI III
1. NURU A. MNYAWONGA
2. SESIILA LEONARD
3. PETRONILA HENRICK
4. FRIDA M. SAUKEY
5. FURAHA T. LUPEMBE
6. JUSTA DOMINIC
7. ROGATHE WILLIAM MAKUNDI
8. REHEMA MSOFE
77.
MTENDAJI MKUU WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA)
MHANDISI II UMEME
1. INNOCENT THOMSON
2. MESHACK LAWRENT
3. YUSUPH OMARI
78.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI
MPIMA ARDHI II
1. LIBONGI FRANCIS
2. RASHID MGAMBO
MCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA II
1. SANGA DOTTO
79.
MKURUGENZI WA JIJI,
HALMASHAURI YA JIJI LA
DAR ES SALAAM
AFISA SHERIA II
1. CHIVAWE CHARLES MBERESORO
MCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA II
1. SALUM HAMIS
80.
MKURUGENZI MTENDAJI (W), HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
AFISA MIPANGO MIJI II
1. PAMBILA GODWIN
MHANDISI MSANIFU MAJENGO II
1. JACOB LUTTA
24
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
81.
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA RUANGWA
FUNDISANIFU II – URASIMU RAMANI
1. MWAMVUA MOHAMED
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. JAPHET L. NKIMBILA
AFISA USTAWI WA JAMII II
1. UPENDO LUGANO MWARYOSA
MKURUGENZI WA MANISPAA,
HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI
MLINZI
1. MWANAHERI ABILAHI MMALALA
2. ANDREA MWANYIKA
82.
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE
MLINZI
1. TITHO JOSEPH MSIGWA
83.
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. DENIS F. KIBASA
2. SAUDA A. MDOE
3. RONICA KOLIMBA
4. SAKINA MFAUME
5. JESCA MWALONGO
6. THEODOSIA J. MATTA
7. PRISCA MAYEMBA
8. TABIA MKONDOLA
9. ROINA MSAMBWA
10. MONICA MGIMBA
11. CHRISTINA KELVIN LUGOME
12. ALISTIDIA PASCHAL
13. DELILA MSAVELA
14. WAMOJA MKETO SALUM
15. OMBENI MKWAFU
16. CATHERINE LUOGA
17. LUCY NKOMA
18. JOEL CHANGULA
25
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
19. DEMENTRIUS NZIKU
20. WINFRIDA CHULLA
21. LIVIN JOHN
22. REHEMA SANGA
23. FADHILA KIKWA
24. LOVENESS ADAMSON
25. ISDORAH KALANGA
MPIMA ARDHI II
1. SOKA ALEX S.
84.
KATIBU TAWALA (M), OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA
MHANDISI II - MAJI
1. SHABAN KASSIMU
KATIBU MAHSUSI III
1. CHRISTINA KULEMBE
85.
MKURUGENZI MTENDAJI (W), HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA
MSAIDIZI WA OFISI
1. THOMAS NGUSA
2. NG’WIGULU LUCAS
3. MECKTRIDA CHARELS
4. EMMANUEL DAUD
5. VEDASTUS CHARLES
6. JUMA SAMWEL
7. MARWA RYOBA
8. LESPIKIUS MALIMI
AFISA MIPANGO MIJI II
1. YORAMU SALUM
MPIMA ARDHI II
1. NICHOLOUS
BATAKANWA
FUNDI SANIFU II – URASIMU RAMANI
1. NEEMA PETER
86.
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA
AFISA MTENDAJI KIJIJI II
1. COMEL MAIGE
2. STEPHEN MUSEKA
3. ASHA ABDALAH RAMADHANI
87.
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA
MSAIDIZI WA OFISI
1. COLLETHA A. TANGA
26
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
WILAYA YA SINGIDA
88.
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA,
KIOMBOI/IRAMBA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. HAWA J. KOLILO
2. JUMANNE KILONGO
3. LILIAN W. KICHAWELE
4. JOYCE KAPINGA
FUNDI SANIFU II - UJENZI
1. MATHIAS MWITA
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
1. MTONGORI CHACHA
AFISA USHIRIKA II
1. MARY GORETH J. SAUWA
AFISA MAENDELEO YA JAMII II
1. JOHN C. JOHN
89.
MKURUGENZI WA MANISPAA,
HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA
MPIMA ARDHI II
1. AMIRI A. NYAMKA
MHANDISI MSANIFU MAJENGO II
1. SHADREACK
ERNEST
MHANDISI MKADIRIAJI UJENZI II
1. HASSAN RAMADHAN
90.
MKURUGENZI WA MJI,
HALMASHAURI YA MJI WA KOROGWE
AFISA MTENDAJI WA KATA III
1. MUSSA TWAHA
AFISA MTENDAJI WA MTAA III
1. MONICA JAILOS
91.
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA
MHANDISI II - MAJI
1. TEMU JAPHET
AFISA MTENDAJI KATA III
1. KASSIM RAMADHANI
2. JOVEN CHALLENGE
3. JULIUS NGULIZA
92.
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA
MVUVI MSAIDIZI II
1. AMINA SELEMANI
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
1. RAHABU CHARLES
27
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
WILAYA YA PANGANI
AFISA MTENDAJI KATA III
1. SALEHE MASIMBA
2. ALLY M. MNUNGA
KATIBU MAHSUSI III
1. JAMILA C. MWANYINGE
2. MERCY MAJILI
MHANDISI II UMEME
1. NORBERT TEMBA
AFISA WANYAMAPORI II
1. JAMES DANIEL MAHUNDI
FUNDISANIFU II MAENDELEO YA JAMII
1. IDD I. MAEDA
93.
MKURUGENZI WA MJI,
HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA
KATIBU MAHSUSI III
1. ZAITUNI LUKOYA
MVUVI MSAIDIZI II
1. GEORGE DAUDI
MHANDISI MSANIFU MAJENGO II
1. MPINI MUSA
94.
MKURUGENZI MTENDAJI (W), HALMASHAURI YA WILAYA YA BIHARAMULO
AFISA MTENDAJI KATA II
1. AMOS NGUNILA SAYI
95.
MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA
MHANDISI II MAJI
1. TITHO ALEX NDALEMYE
FUNDI SANIFU MSAIDIZI MAJI
1. KENEDY A. SHAO
96.
MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. JULIANA JUSTUS MTOLERA
2. CAMILIUS H. NGAYOMELA
3. CATHERINE FREEDOM MWAKATUNDU
4. RICHARD SIMON PAULO
5. WINFRIDA AMEDEI
28
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
6. NEEMA J. MPONELA
7. MUSA C. MASHAMBA
8. EMILINA D. KAJULA
9. ROBERT HAMIS
FUNDI SANIFU MSAIDIZI (MAJI)
1. MUSA ATHUMANI
FUNDI SANIFU II (BARABARA)
1. KULWA AWADHI
AFISA MTENDAJI KATA III
1. CLEOPHACE MAHUNA
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
1. JESTINA MWAIMU
97.
MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA YA MWANGA
MTHAMINI II
1. VERONICA HUMPHREY TERI
MPIMAJI ARDHI II
1. AKWIRA SIMON
MVUVI MSAIDIZI II
1. JACOMINA J. NTUNDU
KATIBU WA KAMATI II
1. ELIZABETH LEMI KOSSAMI
98.
MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. ATIBA KUDRA
2. GLORIA CLEMENT MAKARA
FUNDI SANIFU II (URASIMU RAMANI)
1. ABUBAKARI M. ISAKA
KATIBU WA KAMATI II
1. LEONARD GERVAS HAULE
99.
MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA YA
KATIBU MAHSUSI III
1. HAPPY KASEBELE
MHANDISI II MAJI
1. LEON PASCAL KAVISHE
29
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
RUNGWE
FUNDI SANIFU II (UJENZI)
1. MAJIGE KAZALA
2. BLASIO KASUGA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. TINES E. KALINGA
2. ZACHARIAH MWANGOMELLAH
3. GEROLD MATHEI FUIME
4. MWAHIJA IDDI
5. LUSIA SIMBENGALE
6. ALAMU SWILA
7. EVA ANATORY
8. HERIDA FESTO SANGA
9. VERONICA DANIEL
10. ISRAEL ALIMWENE MWAIPULA
11. SARAH S. KAMAGI
12. BERBELINA MLAGALA
13. MPEGWA T. MWAKINYUKE
14. HAPPINESS MORIS
15. EDINA ISAYA
16. TEDDY FREDY MWASOMOLA
17. HUMPHREY MSONGWE
18. WINFRIDA ZACHARIA
19. AMINAN ANTONY MWATANDILA
20. MILTONI MNKONDAYA
21. CLARA KAPINGA
22. LIVIN JOHN
23. REHEMA SANGA
24. FADHILA KIKWA
100.
KATIBU MKUU, WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO
MKUFUNZI MSAIDIZI
1. MBWANA ADAM ZUNDA
2. DOLOROSA J. MHAGAMA
3. JACOB NDUNGURU
4. AIDAN STEPHEN MILLANZI
5. JEREMIAH HANCE MWAKAPALILA
30
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
6. ALLEN MWALUPILO
7. HELENA P. NDOWO
8. YUSUPHU MAGANGA
9. PAUL DOTTO
10. OMARI JUMA
11. FELICIAN D. BULUGU
12. HAMES NDAKI
13. SYLVESTER J. SHILINDE
14. BONIPHACE J. CHACHA
15. ALFRED RICHARD MWITUMBA
16. MOHAMED CHUO
17. SELEMAN S. PHINIAS
18. JOEL MALUGU
19. GODSON PHARES
20. SHABANI ALLY KALAGHE
21. ARCHELAUS VEDASTUS
22. FRIDEGARDA KOKUTUNGUNIKA MUKYANUZI
23. ROMWALD MWAMBONEKE
24. PETRO ZAHORO
25. NYAMANDA M. MASATU
26. BEATHA RUTELANO
27. EVELYNE E. MALILO
28. WILSON A. NACHENGA
101.
MKURUGENZI WA MANISPAA, HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA
MTHAMINI II
1. MKOJI WANJARA
MPIMA ARDHI II
1. JOSEPH MAZIKU K
MHANDISI II MAJI
1. CHARLES RICHARD
102.
KATIBU TAWALA (M), OFISI YA MKUU
MHANDISI II (MAJI)
1. SAID MWITA
2. LUCAS JACKSON
31
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
WA MKOA WA SHINYANGA
KATIBU MAHSUSI III
1. HAPPINES GODSON
2. . SCOLASTICSA S. SHEMTOI
3. NAMWETA MCHARO .
103.
TAASISI YA KUTHIBITI UBORA WA MBEGU TANZANIA (TOSCI)
KATIBU MUHTASI II
1. SHAMIM A. MUNGA
104.
KATIBU, TUME YA UTUMISHI WA UMMA
KATIBU MUHTASI III
1. MARY DIHNO
105.
MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA
AFISA MIPANGO MIJI II
1. HILAL HAMISI
106.
MKURUGENZI MTENDAJI (W), HALMASHAURI YA WILAYA YA MPWAPWA
AFISA MTENDAJI KIJIJI II
1. FARAJI SAIDI BAKARI
2. JAFARI H. SAID
3. DEO MODEST KANDAMSILE
4. JAMES C. MESSO
5. GODSON D. MAKANYAGA
6. THOMAS PAUL KAPINGA
7. DORIS ERNEST LEMA
8. FRANSISCA EVARIST
9. MARIANA C. NYONI
10. EZEKIEL COSMAS MKALAWA
FUNDISANIFU II (URASIMU RAMANI)
1. HAMIDU AHMAD BUYOGELA
KATIBU MAHSUSI III
1. RABIA M. HUSSEIN
2. TIMINA J. SAWE
32
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
FUNDISANIFU II UJENZI
1. YESSE N. YESSE
107.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) HALMASHAURI YA WILALA YA MSALALA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. ESPERANSA N. ANDREW
2. NEEMA MAGWEGA
3. BAZIL MWANGOKA
AFISA MTENDAJI KIJIJI II
1. HAMISI D. MAGANGA
108.
MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME
AFISA MTENDAJI KATA III
1. BALTAZARY SHAYO
109.
MTENDAJI MKUU, WKALA WA JIOLOJIA TANZANIA
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
1. VICKY S. KANJE
MSAIDIZI WA OFISI
1. JAMES MBALAMWEZI
FUNDI SANIFU II (JIOLOJIA)
1. ISACK LUKWAKWA
FUNDI SANIFU II (URASIMU RAMANI)
1. HAMIMU A. FARAJI
DEREVA II
1. THOMASI BENJAMINI KASUBI
110.
KATIBU MKUU, OFISI YA WAZIRI MKUU
DEREVA II
1. SUNDAY KAMUHABWA
2. RICHARD S. NZAGI
111.
KATIBU MKUU, WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
1. ELIZABETH JOHN
2. JOYCE RWEHABURA
3. JOSEPH BRUNO
4. TRIPHONIA MALLY
33
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
UFUNDI
5. ALICE ANTONY KANYWENYWE
6. ZAHARIA KILAKILA
7. POWER J. MWAKAMBONA
MHASIBU II
1. MBAROUK L. DACHI
KATIBU MAHSUSI III
1. KUDRA ALLY
2. JOANITHA MUCHUNGUZI
3. FELECIA PHILIMON
4. DETRIDA SALUMON
5. ELIZABETH SHIRIMA
6. ANNA AMBILIKILE
7. THERESIA JOHN
8. NURU A. MWANGIA
9. JOYCE JONES
DEREVA II
1. JEREMIA IGNAS MKWAWA
2. HAMZA THABIT HAMIS
3. AUGUSTINO D. MWANISAWA
4. SHADRACK MUNDOLWA
OPERETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI
1. GREYSON M. NYOMBI
2. ISAAC JOHN
MLINZI
1. NATHAEL JEREMIAH
2. DANIEL MAGUSU
3. RAYMOND FRED NTENDWA
4. AZIZ MUSSA DAFTARI
5. GERSHOM STANLEY COBARD
6. JACKSON J. NDIMBO
7. MOHAMED A. MWAGIA
8. FADHILA SHAMTE KWANGWAYA
9. IDDI O. RWAMBO
10. SMITH AMON
34
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
MHANDISI II UJENZI
1. WILLIAM MBAWALA
2. MUSA MZIMBIRI
3. AVITH THEODORY
4. SAI KAPERA
112.
KATIBU TAWALA (M), OFISI YA MKUU WA MKOA MBEYA
KATIBU MUHTASI III
1. HAPPY C. MAGEHEMA
113.
MKURUGENZI MTENDAJI, HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO
MPIMA ARDHI II
1. RONALD TARIMO
AFISA SHERIA II
1. OTILIA NYAWIZA LUTASHOBYA
MHANDISI II (UJENZI)
1. BARAKA LIBUNGO
AFISA BIASHARA MSAIDIZI II
1. TOFIKI ATHUMANI
114.
MKURUGENZI WA MJI, HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA
MCHAMBUZI MIFUMO YA KOMPYUTA II
1. INNOCENT MATINYA
FUNDI SANIFU II (URASIMU RAMANI)
1. CLETUS ATHANAS
2. HAMIMU A. FARAJI
115.
AFISA MTENDAJI MKUU, WAKALA WA VIPIMO
AFISA VIPIMO II
1. SAID IBRAHIM
2. ELIUD J. MWAKYUSA
3. BERNADA PAUL MBIRO
4. MAGEZI TIBIKUNDA
5. FLORIAN LUYOBYA
6. ALFRED M. MBENA
116.
KATIBU TAWALA MKOA OFISI YA MKUU WA MKOA KILIMANJARO
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II
1. VIOLETH PATRICK
2. FELISTER J. LYIMO
3. BEATRICE REGINALD MUSHI
4. ELIZABETH KISHIMBO
35
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
AFISA BIASHARA II
1. RICHARD MATHIAS
2. SUZANE STEVEN MWANGA
KATIBU MAHSUSI III
1. JACKLINE A. JOEL
FUNDI SANIFU II (UJENZI)
1. ALFRED MWITUMBA
117.
KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
MPIMA ARDHI II
1. EVELYNE ELIAS KISAMO
2. DANIEL MWAKASITU
3. MAX CHINGUILE
CHAIRPERSON DISTRICT LAND AND HOUSING TRIBUNAL
1. SARA LINUS
2. MZALIA WAZIRI
3. JOSEPH BANTURAKI
4. MWANAHAWA KHASIM
5. PIA INYASI CHINYEELE
AFISA MIPANGO MIJI II
1. CHRISTINA CHACHA
2. ALOYCE STEPHEN MASSAGA
FUNDISANIFU II UCHAPAJI RAMANI
1. BIZZE MUSTAPHA
2. ESAU SIMION MWAMPOSHI
3. GEOFREY JOSEPH
FUNDISANIFU II URASIMU RAMANI
1. ANDREW FORTUNATUS
2. NEEMA PETRO
3. HAMIDU AHMAD BUYOGERA
4. JORAD NESTORY
TECHNICIAN II SURVEY
1. JULIUS J. TARIMO
36
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
REGISTRATION ASSISTANT II
1. PIETHA CHEMELE
2. HEMED KIBAO
3. ATHUMANI KONDO
4. EDNA F.ANTHONY
5. BEATRICE GODFREY
6. WAZIRI MASOUD
118.
MKURUGENZI WA MANISPAA, HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA/UJIJI
MHANDISI II – UJENZI
1. MWANAISHA RAJABU
MLINZI
1. SHEATID S. SHEATID
AFISA MTENDAJI WA MTAA III
1. ULIMWENGU RICHARD
2. BANIPHACE NZOGERA
3. FLAVIAN LABIA
4. FURAHA KEFA
119.
MKURUGENZI MTENDAJI (W), HALMASHAURI YA WILALA YA MOSHI
AFISA MTENDAJI KATA III
1. GWAU KIMA
MSAIDIZI WA OFISI
1. DAINES STANLEY ISUJA
AFISA MTENDAJI KIJIJI III
1. TALITHA J.CHAGWA
2. ELINA B.MAHUVI
3. SYRILLA SEBASTIAN MBOYE
4. MUHSIN RAJAB
AFISA UGAVI MSAIDIZI
1. VICTOR CHARLES KAPAMA
AFISA WANYAMA PORI II
1. HONEST AMAN MINJA
37
NA
MAMLAKA YA AJIRA
KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
120.
KATIBU TAWALA MKOA OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA
KATIBU MAHSUSI III
1. EDITH IGNAS
2. UWEZO NDAKI
3. REBECCA ISAACK
DEREVA II
1. ERICK F. MSONGO
121.
MKURUGENZI WA MANISPAA,
HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE,
DAR ES SALAAM.
FUNDI SANIFU II UMEME
1. PIUS VICTOR
122.
KATIBU TAWALA (M),
OFISI YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM.
MHANDISI II MAJI
1. INNOCENT LUGODISHA
123.
MKURUGENZI WA MANISPAA,
HALMASHAURI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA
FUNDI SANIFU II - MAJI
1. MODESTUS CHINGUILE
2. BASIL KAHWILI
AFISA MIPANGO MIJI II
1. BARAKA JOHN
124.
MKURUGENZI MTENDAJI (W) WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA
FUNDISANIFU II - MAJI
1. MATHEW WILLIAM
X.M DAUDI
KATIBU
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Arsenal, Chelsea, Barcelona, Porto, Basel na Borussia Dortmond zatakata kwenye ligi ya mabingwa wa Ulaya:

 
Mzunguko wa pili wa ligi ya mabingwa wa Ulaya ulinza jana usiku na kuendelea tena leo jumanne katika viwanja vinanwe barani Ulaya. Siku ya Jumanne usiku, timu zilizopangwa kwenye makundi ya E, F, G na H zilijitupa uwanjani, ili kuwania pointi tatu muhimu.
Mechi zilizochezwa katika kundi E, Basel ya Uswisi iliweza kuitandika Schalke ya Ujerumani bao 1-0. Nchini Romania, klabu ya Steaua Bucharest ya Romania imebugia mabao 4-0  kutoka kwa wageni wao Chelsea ya Uingereza.
Kundi F, Arsenal ya Uingereza  imeonyesha kuwa ni moto wa kuotea mbali msimu huu, baada ya kuibanjua Napoli inayoongoza ligi ya serie A nchini Italia kwa kuitundika mabao 2-0. Kwenye mechi nyingine ya kundi hilo, Borussia Dortmund ya Ujerumani iliigaragaza Olimpique Marseille ya Ufaransa kwa mabao 3-0.
Kundi G, Porto ya Ureno  iliigaragaza Atletico Madrid ya Uhispania kwa mabao 2-1. Kwenye mechi nyingine ya kundi hilo, Zenit St Petersburg ya Russia ilitoka sare ya tasa na Austria Vienna ya Austria katika dimba la Petrovskiy.
Kundi H, AFC Ajax Amsterdam ya Uholanzi yasimamishwa, baada ya kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na AC Milan ya Italia, huku Celtic ya Scotland ikisalimu amri ya kufungwa bao 1-0 na Barcelona ya Uhispania.
Leo Jumatano kutashuhudiwa mechi nyingine 8 za makundi A,B,C na D na miongoni mwa pambano linalosubiriwa kwa hamu na washabiki wa soka ni mechi kati ya Manchester City ya Uingereza na Bayern Munich ya Ujerumani.
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Al Bashir na Kiir wajadili kadhia ya Abyei na mipakaRais Omar Hassan al Bashir wa Sudan na mwenzake wa Sudan Kusini Salva Kiir wamekutana leo na kufanya mazungumzo mjini Juba katika safari yake ya pili huko Sudan Kusini baada ya nchi hiyo kujitenga.
Pande hizo mbili zimeafikiana juu ya kufunguliwa tena mipaka ya nchi mbili. Vilevile viongozi hao wamejadili suala la kuanzishwa idara ya pamoja ya eneo la Abyei linalogombaniwa ambao limesababisha mapigano ya hapa na pale kati ya majeshi ya Sudan na Sudan Kusini.
Mgogoro wa eneo la Abyei unatishia makubaliano ya amani yaliyotiwa saini mwaka 2005 na kukomesha vita vya ndani vya Sudan vilivyoendelea kwa kipindi cha zaidi ya miongo miwili.
Al Bashir na Kiir pia wamejadili na kuchunguza maamuzi ya Umoja wa Afrika kuhusu mgogoro wa pande hizo mbili na vilevile suala la kuimarisha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi.
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
RENAMO washambulia polisi Msumbiji.
Alphonso wa Msumbiji

Ripoti kutoka Musumbiji zinaarifu kuwa wanaharakati waliojihami kutoka kundi la upinzani la Renamo,wameshambulia kituo kimoja cha polisi katika mji wa kati wa Maringue.
Kisa hicho kinajiri siku moja baada ya Renamo kusema kuwa inajiondoa katika mazungumzo ya amani ya mwaka 1992 yaliosababisha kusitishwa kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Renamo ilikaidi makubaliano hayo baada ya vikosi vya serikali kushambulia kambi iliokuwa na kiongozi wake Afonso Dhlakana na kumlazimu kutoroka.
Hali ya wasiwasi kati ya serikali na Renamo imeongezeka katika siku za hivi karibuni huku mapigano yakiripotiwa katika maeneo mbalimbali.
Inakadiriwa kwamba zaidi ya watu milioni moja waliuawa katika vita hivyo vya miaka 16 vilivyosababisha mazungumzo ya amani huku Renamo ikibadilika kutoka kundi la wanamgambo hadi chama cha kisiasa.
no image
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Alex Ferguson amponda David Beckham.


Aliyekuwa meneja wa klabu ya Manchester United ya Uingereza Sir Alex Ferguson amesema David Beckham alilazimika kuondoka katika klabu hiyo kutokana na tabia yake ya kujiona ni mkubwa kuliko meneja wake.
Katika kitabu kipya kuhusu historia ya maisha yake Ferguson amesema enzi za uongozi wake walitofautiana na Beckham kutokana na kumkosoa kuhusiana na kiwango chake katika matokeo ya ligi ya FA 2003.
Mchezaji huyo alionekana kuwa na msimamo unaoonyesha kujiona mkubwa na kutokubali maelekezo .
Furguson amesema kuwa tabia ya Beckham ilionekana kubadilika tangia alipomuoa mwanamuziki maarufu wa miondoko ya pop Victoria kutoka kundi la Spice Girls
"David ni mchezaji pekee ambaye nilimuwezesha kumuweka katika mazingira ya umaarufu wa soka kidunia, lakini sikufurahishwa na maisha ya umaarufu wake na hasa kujiona yeye ni bora zaidi' alisema Ferguson.
Ferguson amesema haijalishi ni Alex Furguson ama Pete the plumber, lakini mamlaka ni mamlaka tu, hangeweza kuwa na mchezaji ambaye haheshimu mamlaka,nadhan kama ni kuondoka ni bora alivyoondoka tu.
Beckham aliyeshinda mara sita katika ligi ya Premier ya uingereza,vikombe viwili vya FA na moja katika Champions League akiwa na klabu hiyo baadaye aliuzwa kwa Real Madrid kwa dola million 25 katika msimu wa joto 2003, kabla ya kwenda nchini Marekani kuchezea klabu ya LA Galaxy.
Sir Alex Ferguson yeye amestaafu mwezi May mwaka huu umeneja katika klabu hiyo ya Manchester huku akiwa ni miongoni mwa mameneja walifikia mafanikio makubwa katika historia ya kuiongoza timu hiyo.
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.


Rais Joyce Banda wa Malawi atishiwa kuuawa
  .Ni kutokana na kuwabana Mafisadi


Rais Joyce Banda wa Malawi ametishiwa kuuawa, baada ya kutekeleza mikakati yake ya kufichua na kupambana na ufisadi uliokithiri nchini humo. Brown Mpinganjira, Waziri wa Habari wa Malawi amethibitisha habari hizo na kusema kuwa, mafisadi wameanza kutishia maisha ya kiongozi huyo wa Malawi kutokana na msimamo wake wa kuvunja baraza la mawaziri na kufichua ufisadi mkubwa wa kifedha uliofanywa na viongozi waandamizi nchini humo. Mpinganjira amesema kuwa, baadhi ya vitisho hivyo vimetolewa toka nje ya nchi hiyo na jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi na hatimaye kubaini wahusika wa njama hizo. Inafaa kuashiria hapa kuwa, tarehe 10 Oktoba mwaka huu, Rais Joyce Banda aliamua kulivunja baraza la mawaziri baada ya kufichuliwa kashfa ya ufisadi wa dola milioni tatu uliofanywa na viongozi wa ngazi za juu wa serikali ya Malawi. Joyce Banda anayehesabiwa kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini humo, aliingia madarakani mwaka 2012 baada ya kufariki dunia Bingu wa Mutharika rais wa zamani nchini humo.