Kuni News
Ujumbe kutoka kwa Mmiliki wa Blog!
Hii ni blog ya kijamii iliyo chini ya usimamizi na umiliki wa ndugu Atley Kuni wa jijini Mwanza
Karibu
Mr. Atley Kuni-Mmiliki wa Blog
"Tuwe watanzania hiyo ndio kaulimbiu yangu kwenu", Kwani kuthamini cha mtu ni hatari sana Fikiria mawazo na maamuzi yako uwe una amuliwa na Mtu, Hivi kweli si anaweza hata kukupangia Muda wa kula?
Tutumie habari kote ulimwengini zilizo kufikia kwaajili yakuisadia Jamii ya Kitanzania, kuhabarika Tumia Mtandao huu, kwani lengo letu ni kuhakikisha tunafikisha habari kwa wakati kwa Jamii Yetu. Kumbuka Maadili yanayo linda Taaluma Kuzingatiwa.