Nafahamu zipo Blog Nyingi sana, kwa sasa hapa chini ya Jua, lakini
hiyo haiwezi kukunyima nafasi yakutembelea "kuni-news.blogspot.com" Blog mpya
na ya kipekee kabisa hata yale waliokuwa wanakunyima mengine sasa
utayafahamu. Kwani Mara baada ya Makanjanja kuingilia Taaluma na kuharibu
baadhi ya Miiko inayotuongoza katika Tasnia ya habari, Nimeona sio vyema
nindelee kukaa kimya, Ndio maana tumekuja na kuni-news blog.
Nawakaribisha sana wadau. Kw
KARIBUNI!