Wakutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Fatilia matukio katika Picha zote Na, Afisa habari RS Mwanza.
| MKUU WA MKOA WA MWANZA AKIPOKEA ZAWADI YA NGAO KUTOKA KWA KIONGOZI WA MSAFARA HUO BREGEDIA GENERAL KAPINGA WAKATI WA ZIARA HIYO. |
| MAKAMANDA WA CHUO CHA UKAMANDA WAKIWA WANAFATILIA KWA KARIBU MAELEZO YA MKUU WA MKOA WA MWANZA HAYUPO PICHANI WAKATI WA ZIARA HIYO. |
| MAKAMANDA KUTOKA NCHI ZA RWANDA NA ZAMBIA WAKIWA MAKINI NA MAELEZO YA MHE. MKUU WA MKOA WA MWANZA. |
| MAKAMANDA KUTOKA TANZANIA WAKINUKUU BAADHI YA MAELEZO YA MHE. MKUU WA MKOA. |
| HAPA MAKAMANDA WAKIFATILIA JAMBO. |
| HIVI NDIVYO UKUMBI ULIVYOKUWA UNAFANANA. |
| KIONGOZI WA MSAFARA HUO BREGEDIA KAPINGA AKITOA MAELEZO MAFUPI KWA MKUU WA MKOA KABLA YA KUANZA MAONGEZI YAO NA MAKAMANDA HAO. |
| MOJA YA MAKAMANDA ALIYETAKA KUJUA KUHUSU JITIHADA ZA MKOA KATIKA KUMKOMBOA MKULIMA KWA KUWA KILIMO NI UTI WA MGONGO WA TAIFA LA TANZANIA. |
| HAPA MAKAMANDA WALILAZIMIKA KUPIGA PICHA YA PAMOJA KAMA SEHEMU YA KUMBU KUMBU YA UGENI HUO KUTOKA (CSC- ARUSHA) |
| NI PICHA YA PAMOJA. |
Post A Comment: