| MHE. RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUWA AKIWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE BARABARA YA KISESA USAGARA INAYOJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI KM. 16.8 KWA PESA ZA KITANZANIA SHILINGI 17,898,375,742.50. | 
| DARAJA LA NYASHISHI. | 
| MHE. RAIS ALIPOFIKA ENEO LA NYASHISHI NA KUPOKELEWA NA WENYEJI WAKE. | 
| MHE. RAIS AKIPOKEA TAARIFA YA MRADI WA MAJI KTK MJI WA NGUDU. | 
| RAIS AKIPOKEA MAELEZO KUTOKA KWA MTENDAJI MKUU WA TANROAD NCHINI WAKATI WA UKAGUZI WA BARABARA YA USAGARA KISASA TAREHE 10.10.2014. | 
| MDAU ALIKOSA NAFASI IKAMBIDI APANDE JUU YA MTI HUU WENYE MIBA KWA AJILI YAKUMSIKILIZA MHE. RAIS WAKATI WA UZINDUZI WA DARAJA LA NYASHISHI. | 
| HOTUBA INAENDELEA. | 
| TUNAKUSIKILIZA MHE. RAIS. | 
| DARAJA MOJA WAPO LINALOJENGWA SAMBAMBA NA BARABARA YA KISESA USAGARA. | 
| MWANANCHI HUYU ALIKUWA AKIMLALAMIKIA MWANDISI AMBAYE SURA YAKE HAIONEKANI VIZURI, AKILALAMIKA KUPATA FIDIA KIDUCHU KUTOKANA NA ENEO LAKE KUATHIRIWA NA UJENZI WA BARA BARARA YA USAGARA KISESA. | 
| TUNAFATILIA. | 
| MAELEZO YA DARAJA LA NYASHISHI. | 
| UMATI WA WATU WAKIFATILIA HOTUBA YA RAISI. | 
| NGOMA YA MCHELEMCHELE NA BURUDANI NAYO ILIKUWEPO. | 
| SASA TUZINDUE DARAJA RASMI. | 
| HII NDIO NGOMA YA ZEZEA IPENDAYO MAGUFULI. | 
| MTO NYASHISHI AMBAO HAPO AWALI ULIKUWA NI HATARI KULIKO KABLA YA KUJENGWA KWA DARAJA HILO. | 
| MKUU WA WILAYA YA YA MAGU WAKATI WA UWEKAJI JIWE LA MSINGI BARA BARA YA KISESA USAGARA HAPO ALIKUWA AKITOA UTAMBULISHO KWA WAGENI WALIOHUDHURIA HAFLA HIYO. | 
| NYUMA YA PAZIA HAYA NDIO YALIO ONEKANA WAKATI WA ZIARA HIYO YA MKUU WA NCHI. | 
| NYUMA YA PAZIA. | 
| MKUU WA MKOA WA MWANZA NAYE ALIPATA FURSA YAKUTOA SALAM ZA MKOA. | 
| HAPA WANAPANDA MTI KWA UKUMBUSHO. | 
| DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA MABATINI LILILOJENGWA KWA FEDHA ZA KITANZANIA MILIONI 888.53 | 
| UZINDUZI WA DARAJA LA MABATINI MILONI 888.53 | 
| UKAGUZI WA BARABARA NA SALAM ZINAENDELEA NA KWA WANANCHI. | 
| SALAM KWA WANACHI. | 
| STANSLAUS MABULA MEYA WA JIJI LA MWANZA AKITOA TAARIFA KUHUSU MIPANGO YA MAENDELEO YA HALMASHAURI HIYO. | 
| HII KWAYA YA A.I.C MAKONGORO VIJANA, AMBAO WALIKOSHA MHE. RAIS HATA KUFIKIA HATUA YAKUOMBA KIKUNDI HICHO KIALIKWE WAKATI WA SHEREHE ZA UHURU TAREHE 09.12.2014. | 
 
 
Post A Comment: