Waziri Magufuli akiwa na Mkuu Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo, alipokuwa ziarani mkoani Mwanza hivi karibuni  (Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa)

Na: Atley Kuni.
Waziri wa ujenzi Dr. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuweka jiwe la msingi katika daraja la waenda kwa Miguu linalojengwa   eneo la Mabatini Jijini Mwanza.

Kwamujibu wa Taarifa ambazo Mtandao huu umezipata kutoka Mamlaka ya barabara mkoani Mwanza waziri Magufuli atazindua rasmi na kuweka jiwe la msingi daraja hilo ambalo ni alawaenda kwa miguu.
Daraja la mabatini ni mpango uliobuniwa na Vikao vya maamuzi vya kamati ya ushauri ya mkoa (RCC) kwa ajili ya kupunguza ajali za bara barani lakini pia kuondosha msongamano wa magari katika eneo hilo ambao umekuwa ni kero ya muda mrefu.
Axact

Post A Comment: