![]() |
WAZIRI MKUU AKIPOKEA ZAWADI YA PICHA KUTOKA KWA CEO WA BMAF DR. HELEN SENKORO. |
![]() |
WAALIKWA WAKIWA WANAANGALIA HARAMBEE INAVYOKWENDA. |
![]() |
MC WA SHGHULI HIYO ALEX NGUSSA AKICHAGIZA JAMBO KWENYE HARAMBEE HIYO. |
![]() |
NAIBU WAZIRI WA KITWANGA AKIMSIKILIZA WAZIRI MKUU KWA JAMBO FULANI HAPO. |
![]() |
DR. HELEN AKIMPA WAZIRI MKUU MPANGO WA HARAMBEE UTAKAVYO KWENDA. |
![]() |
KIONGOZI WA KANGARUU AKIWAKILISHA MCHAO WA TAASISI HIYO. |
![]() |
MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA HALIFA HIDA MARA BAADA YAKUSILISHA MCHO WA JIJI LA MWANZA. |
![]() |
AFISA UHUSIANO WA JIJI LA MWANZA, BW. JOSEPH MLIZI AKIPEANA MKONO NA WAZIRI MKUU MARA BAADA YAKUWASILISHA MCHO WA MWANZA CITY COMMECIA COMPLEX. |
![]() |
KANALI MSTAAFU NA MKUU WA MKOA WA KAGERA AKISOMA MICHANGO KUTOKA MKOA HUO. |
![]() |
RC WA GEITA KULIA AKIMTAMBULISHA MKUU WA WILAYA YA GEITA MANZIE MANGOCHIE MARA BAADA YA KUWASILISHA MICHANGO YA MKOA HUO. |
![]() |
MKUU WA MKOA WA SHINYANGA AKIKABIDHI MICHAO YA MKOA HUO. |
![]() |
SEKRETARIETI WAKISIKILIZA KWA MAKINI JINSI WACHANGIAJI WALIVYO KUWA WANACHANGIA KATIKA HARAMBEE HIYO. |
![]() |
MFANYABIASHARA WA MWANZA BW. MWITA GACHUMA AKITETA JAMBO NA MHE. BENJAMIN MKAPA KATIKA HAFLA HIYO. |
![]() |
MKUU WA WILAYA YA NYAMAGANA KUSHOTO, BARAKA KONISAGA NA MKUU WA WILAYA YA ILEMELA BIBI AMINA MASENZA WALIPOFIKA MBELE KWA AJILI YAKUTOA MICHANGO YAO. |
![]() |
KAMATI YA MAANDALIZI WALIPATA FURSA YAKUPIGA PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASMI WAZIRI MKUU WA JAMAHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. |
Post A Comment: