| Mama yake Brayant Sixbert akiwa anampa kampani mwanae katika kutayarisha keki. |
| Mara baada Ubatizo Brayant alirejea Nyumbani tayari kwakuwakribisha wageni Waalikwa |
| Shangazi akijinoma noma na Mamisosi ya Nguvu kwenye Ubatizo wa Brayant Sixbert Makelele |
| Kuna wasaa ilibidi Tuhamie Ndani kufuatia kufuatia Mvua ilyoleta Baraka |
| Mama yake Brayant hapa akiwa ana kamua taaratiiibu kwenye Ubatizo wa Mwanae. |
| Kuna wasaa ilibidi Tuhamie Ndani kufuatia kufuatia Mvua ilyoleta Baraka |
| Karibuni Shoda waungwana. Maneno ya Brayant Makelele.. |
Post A Comment: