Sherehe za miaka hamasini na moja ya Uhuru wa Tanzania Bara zina tarajia kufanyika tarehe 09/Dec.2012.
Sherehe hizo katika mkoa wa Mwanza zitafanyika katika, Kimkoa katika Wilaya ya Kwimba, na Mgeni Rasmi anategemewa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Evarist Ndikilo, Pamoja na mambo mengine Mkuu huyo wa Mkoa Atazungumzia hali ya Kimaendeleo ya Mkoa huo, ikiwa ni pamoj na kuhimiza suala la Amani na Utulivu.
Taarifa iliyo patikana kutoka katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza zinasema kwamba Sherehe hizo vile vile zitahudhuriwa na Wageni kutoka Takriba ni Wilaya zote za Mkoa huo, Vikundi vya Ngoma, na wageni wengine waalikwa kutoka nje ya Mkoa huo.
Katika Taarifa yake kwa Vymbo vya habari Mkuu Huyo wa Mkoa Inasema Suala la Amani na Utulivu viwe ajenda yakudumu katika Mkoa huo.
Axact

Post A Comment: