Wanuswa kwapa kama mahojiano
Hata ujuzi pia hauna maana.
Huko ni China.
Shirika maarufu la Uchina, HAINAN AIRLINE limeweka masharti kwamba mbali na elimu na uzoefu
lazima usinuke. Ukiwa mwili wako una harufu mbaya basi kazi huna. Ni China huko.
Kwa mujibu wa gazeti la SZ News shirika hilo katika kuajiri marubaNi wapya lazima mtu ananuswa
makwapa.

Ukiwa unakikwapa, au makwapa yako yana harufu unanyimwa kazi.
Kabla ya kuajiriwa katika shirika hilo la ndege. Hatua ya kwanza ni kunuswa kwapa zako.

Wakuu wa shirika hilo wanajitetea wakisema, kwa vile marubani wanafanya kazi karibu zaidi na watu
basi ni lazima wasiwe na harufu ya kutisha kwani harufu mbaya ya miili yao au makwapa huenda
ikawapunguzia wateja.
Mama mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa
ya maiti.
Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoaandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na
mifupa ya mtu aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita.
Mkuu wa mashitaka Bi Kristina Ehrenborg-Staffas ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa bibi huyo
anakabiliwa na mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu.
Lakini mama huyo amejitetea akisema haoni kama amefanya kosa kwani anafurahi kufanya mapenzi na
maiti.
Wakati alipokamatwa alipatokana akiwa na mifupa ya binadamu,mafuvu, na viungo vyengine.
Pia aliptikana na picha za vyumba vya maiti na makaburi.
Bibi huyo anasema ana mahaba makubwa na maiti.
Hii ni BBC na mimi ni Odhiambo Joseph, tukutane wiki ijayo...
Axact

Post A Comment: