Jumla ya watoto wapatao 24 wamezaliwa katika hospitali ya mkoa wa Mwanza Sekou Toure katika mkesha wa kuamkia mwaka mpya wa 2103.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na katibu wa afya wa hospitali hiyo bwana Danny Temba amesema watoto wa kiume ni 15 na wa kike ni 9, pia ameongeza kuwa hali ya watoto na wazazi inaendelea vizuri.
Axact

Post A Comment: