Hivi ndivyo Mwandishi wa Blog hii alipo mkuta bibi Thabitha Ngalaba, Eneo la Station ya Mwanza akiosha kioski chake cha kuuzia Samaki. sikumoja kabla ya treni kuingia Mkoani Mwanza. Eneo la station lilikuwa Maarufu na Wajasiriamali wadogo katika kujipatia kipato.



Axact

Post A Comment: