Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Katika ushabiki wa mchezo wa soka mara nyingi wanasoka wakipata
umaarufu mkubwa hasa kutokana na kusakata kabumbu ambao ndio utamu wa soka
lenyewe.
Hata hivyo...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mshambuliaji wa TP Mazembe, Mbwana
Samata.
Dar es Salaam. Mshambuliaji wa
kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samata alifunga bao pekee na kuiongoza TP Mazembe
ya...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba wakishangilia wakati mjumbe mwenzao, Joshua Nassari alipounga mkono kimakosa hoja ya kura ya wazi wakati anatoka upande unaoipinga....
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
MHE. BERNAD MEMBE WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA.
Serikali ya Tanzania itafanya mazungumzo na Rwanda ili "kutatua tofauti za kisiasa kuhusu mgogoro...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
KITANZI TAYARI KWA KUNYONGA.
Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya Tanzania imesema hadi kufikia Februari mwaka
huu watanzania 177 wamefungwa...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Huku hali ya taharuki ikiendelea kutanda
mjini Mombasa pwani ya Kenya ambapo magaidi walivamia kanisa siku ya Jumapili
na kuwapiga risasi waumini, mmoja wa waathiriwa...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Idadi ya waliofariki kufuatia shambulio la Likoni imeongezeka na
kufikia 6 huku 9 waliokua wakipokea matibabu wameruhusiwa kurudi nyumbani na 6
hao walifariki...