Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
MAIZE FARM IN KWIMBA DISTRICT MWANZA
NIGERIA: Cell Phones for Farmers to Cut
Corruption, Deliver Services
Abuja — Nigeria's agriculture minister today responded...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
HILI NI SHAMBA LA MZALENDO AITWAE SEBASTIAN NGONGOSEKO LILILOPO MKOANI MWANZA KATIKA WILAYA YA MAGU MAARU KWA ULIMAJI WA MBOGA MBOGA TU.
UCHUMI WA TEGEMEZI:...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Jumla ya wahamiaji haramu 4 wanne kutoka Somalia wamekamatwa Mkoani Morogoro wakiwa
kwenye basi la Elisaidi lililokuwa likielekea Mkoani Mbeya kutokea Dar Es Salaa...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
PAMOJA na Serikali na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kutoa elimu ya kutumia njia za
kisasa za uzazi wa mpango kote nchini, baadhi ya wanawake katika wilaya...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Watu wawili wamefariki Dunia na wengine thelasini na sita (36) kujeruhiwa kwenye ajali ya basi la “Bunda Expres” iliyotokea Mkoani Mwanza katika Wilaya ya Mag...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Na Alex Mchumvu. Tanga.
Baadhi ya watoto wanaoshambuliwa na ugonjwa wa funza. Kuanzia mtoto
wa pili kutoka kulia ni miongoni mwa familia zinazoshambuliwa na
ugonjwa...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mnyika
Tarehe 3
Januari 2013 kwa kutumia kifungu cha 10 cha sheria ya haki, kinga na madaraka
ya Bunge nimetaka Wizara ya Maji inipatie nakala ya ripoti ya utekelezaji...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
TASNIA ya Filamu Tanzania imepata pigo jingine, baada ya msanii wake maarufu, Sadick Juma Kilowoko (Sajuki), kufariki dunia alfajiri ya kuamkia jana katika Hospitali...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
PAZIA la michuano ya Kombe la Mapinduzi, linafunguliwa leo kwa michezo miwili kwa Simba kuivaa Jamhuri ya Pemba, huku Tusker ya Kenya wakipepetana na Bandari mechi...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Ni kuhara na Kichomi kwa watoto wa wiki 6 hadi mwaka mmoja.
Zoezi la Chanjo limefanyika kimkoa katika Wilaya ya Sengerema kwenye Tarafa ya Sengerema
kijiji cha Sima...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
RAIS Jakaya Kikwete jana alizindua matokeo ya awali ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012, yanayoonyesha kuwa Tanzania sasa ina watu 44,929,002, kati yao 43,625,434...