Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo anatazamiwa kufanya ziara ya kikazi katika Wilaya za Mkoa wa Mwanza kwa lengo la kuhimiza shughuli mbali mbali...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Na: Atley Kuni.
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania hivi leo imeadhimisha miaka kumi toka kuanzishwa kwake kwa mafanikio makubwa.
Katibu Tawala Msaidizi...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Na Atley Kuni. Mwanza.
HILI NDILO KOMBE LINALO INGIA MWANZA.
KIKAO NA WAANDISHI WA HABARI MWANZA.
Kwa mara ya kwanza Kombe la Dunia litapokelewa Mkoani...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Maafisa wa Israel wameshutumu vikali mkataba wa nuklia na Iran uliofikiwa mapema Jumapili mjini Geneva. Wanasema mkataba huo kamwe huzuii Iran kuendelea na juhudi...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Kufuatia kuzingirwa na wanamgambo wenye silaha wako
kwenye hatari ya kupata maradhi yatokanayo na maji machafu ikiwa hawatapata
msaada wa haraka wa kibinadamu,...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage
ameliambia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania lililomtaka aitishe Mkutano
Mkuu wa Dharura ndani ya siku 14, ili...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na Mjumbe wa UN. Ikulu JIji Dar es Salaam
Mary Robinson Mjumbe
Maalumu...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Ujerumaini imeamua kupiga marufuku simu
zote za "smart" aina ya iPhone baada ya afisa mmoja wa zamani wa
kijasusi wa Marekani Edward Snowden kufichua kuwa,...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
.
Jumla
ya Waendesha Pikipiki 1167 wamepatiwa mafunzo ya kuendesha Pikipiki na kupatiwa
Leseni daraja “A” katika kipindi cha Januari – Agosti, 2013.
Boda...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
MBWANA SAMATTA AKIWA ANAONESHA VITU VYAKE UWANJANI.
Shirikisho la kandanda barani
Afrika CAF limetangaza majina ya wachezaji wa kiafrika watakaowania tuzo ya
mchezaji...