Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Barack Obama
Bunge la Marekani linakutana tena leo kujaribu kutafuta suluhisho la
mgogoro wa bajeti unaotishia kuitumbukiza nchi hiyo katika mdororo wa
uchumi....
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mkoa wa Mwanza unatarajia kufanya uzinduzi wa Chanjo ya Kimkoa kuhusu Nimonia
pamoja na Kuzuia kuhara kwa watototo wenye umri wa wiki sita hadi Mwaka...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
MABINGWA wa soka Bara, Simba jana waliogelea kipigo cha mabao 3-0 kutoka Tusker ya Kenya katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa, huku ujio wa kocha wao, Patrick Liewig...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mkutano wa CHADEMA-Karatu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kuwa
Katibu Mkuu wake, Dk Willbrod Slaa atapewa fursa ya kuwania nafasi...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mhe. Zitto Kabwe-Mbunge na Waziri kivuli wa fedha
Maandamano ya amani yaliyofanyika mjini Mtwara siku ya alhamis wiki
hii yameibua hoja mbali mbali kutoka kwa viongozi,...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Raia wa Uswisi Magd Najjar (kulia) akifikishwa mahakamani mjini Nairobi
kushitakiwa rasmi kwa kuwa na mafungamano na al-Shabaab. Najjar ni mmoja
wa washukiwa wengi...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Theo Walcott aliibuka kinara kwa kupachika mabao 3 kati ya 7 ya Arsenal walioifunga NewCastle United uwanja wa Emirates 29-Desemba-2012
Arsenal imeiangushia kipigo...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Somalia
Ujumbe wa juu kutoka serikali ya Somalia ulikutana na kiongozi wa
wapiganaji wa Ras Kamboni Sheikh Ahmed Mohamed Islam huko Kismayu
Alhamisi (tarehe...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Faith Kabura Makena alivunja kikwazo cha kijinsia kwa madereva wa kike wa bodaboda mjini Garissa. [Bosire Boniface/Sabahi]
Picha ya teksi ya pikipiki ya Faith...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Robin Van Persie mfungaji wa bao la pili la Man U dhidi ya West Brom
Manchester United leo imeilaza West Brom magoli 2-0
na kujihakikishia nafasi ya kwanza kwenye...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Familia zilizoathiriwa kwa mujibu wa Gazeti la Standard Nchini Kenya wakipekuwa mali yao baada ya maporomoko hayo ya Ardhi
Watu wanane wamekufa baada ya nyumba kadha...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
An exterior shot of the new Concourse A. The facility has been built specifically to accommodate Emirates' A380 aircraft.
The new facility at Terminal 3 of Dubai’s...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Evarist Ndikilo alipokuwa akiwasilisha ripoti ya utendaji wa Serikali kwa kipindi cha mwaka 2005/2012
Taarifa ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
SUALA LAKUWAWEZESHA WAJASIRIA MALI NI JAMBO AMBALO MKUU WA MKOA ALILITOLEA MAELEZO, NA JINSI MKOA ULIVYOPIGA HATUA.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amewaambia waandishi...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Na Atley Kuni.
Katika kile kinacho onekana kuwa ni dhana ya uchapakazi, wataalamu
kutoka Sekretariti ya Mkoa wameanza kazi kwakwenda kutembelea Wilaya za
Mkoa...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Kocha wa Manchester Sir Alex Ferguson amemshutumu kocha wa Newcastle Allan Pardew na kumtaja kuwa mfarisayo na mnafiki.
Pardew alimshutumu Ferguson kwa utovu wa nidhamu...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
THE Ilemela District
commissioner Amina Masenza has promised to support engagement Strategy
between Ilemela Civil Societies Network and Ilemela Municipal Council...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Tanzania's Constitutional Ammendment Commettee Chairperson-Hon Judge Joseph Sinde Warioba
By Moses Matthew in Mwanza
THE Actions for Democracy and Local Governance...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mama yake Brayant Sixbert akiwa anampa kampani mwanae katika kutayarisha keki.
Ni tarehe 26/12/2012: Siku ambayo Mtoto Brayant Sixbert Makelele alipoweka historia...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mr Nelson Tugume, the chief executive officer of Inspire Africa, and his wife Atukunda, admire their new born baby girl at Nakasero
hospital on Christmas Day. PHOTO...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Bilawal Bhutto Zardari-Mtoto wa Benazir Bhutto
MWANAWE waziri mkuu wa Pakistan aliyeuawa, Benazir Bhutto, amezindua kuingiakwake kwenye siasa hii leo ikiwa ni...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Nelson Mandela
Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson MandelaAliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela, ameruhusiwa kwendanyumbani kutoka hospitali moja mjini...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza. Eng. Evarist Ndikilo anatarajiwa kukutana na kuzungumza na waandishi wa habari wote mkoani Mwanza tarehe 29-Desemba-2012 kuelezea juu ya taarifa...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Krimas 2012
Kiongozi wa waumini wa kikatoliki duniani Papa Benect XVI
ameitumia nafasi ya kutoa ujumbe wa Christmas kushambulia ndoa za jinsia moja,
na kuwatuhumu...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Shinzo Abe
Nchini Japan chama cha kihafidhina cha Liberal Democratic, LDP, kinaelekea kushinda kwa viti vingi katika uchaguzi mkuu.
Taarifa Zinahohusiana!
Vituo...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Evarist Ndikilo alipokuwa akifungua Mkutano wa RCC tarehe 14 Dec. 2012 Kwenye Ukumbiwa Chuo cha Ben
Na: Atleya Kuni- Mwanza.
Kikao...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Rais Mstaafu wa Afrika Kusini-Mzee Nelson Mandela
Ikulu ya rais wa Afrika Kusini inasema kuwa Nelson
Mandela amefanyiwa uperesheni mjini Pretoria, kutolewa mawe...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Rais wa Marekani-Barack Obama
Kufuatia ya moja kati ya mauaji
makubwa kutokea katika historia ya Marekani, wanasiasa akiwemo Rais
Barack Obama, wametaka sheria...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Hii ni sehemu mojawapo hapa jijini Mwanza ambapo blog hii ilimkuta msukuma mkokoteni huyu akiwajibika.
Kazi hii imewezesha kuwapatia kipato baadhi ya wakazi...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mike "Iron" Tyson-Bingwa wa zamani wa uzito wa juu katika masumbwi
Bingwa
wa zamani wa ngumi asiyepigika wa uzito wa juu Mike Tyson amesema
anajisikia furaha...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. FENELA MKANGALA
(MB), WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA
MICHEZO SIKU YA UZINDUZI WA BODI YA USHAURI YA
CHUO CHA MAENDELEO YA MICHEZO MALYA...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
WATU HAWATAKI KUFANYA KAZI WAMEBAKIA KUPIGA SOGA ASUBUHI YA SAA 2,00 HADI JUA LINWAKA UTWAKUTA TU .
HAPO KEMONDO, STORI ZAO ZOTE NIKUISEMA SERIKALI KWA NAMNA HII...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
JOHN MNYIKA-Mbunge wa Jimbo la Ubungo
ORODHA
YA UFISADI NA UZEMBE TANESCO AWAMU YA KWANZA NA MWITO WA KUTOA MAONI
KUHUSU KUSUDIO LA KUPANDISHA BEI YA UMEME KWA...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mzee Nelson Mandela-Rais Mstaaf wa Afrika Kusini
Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amelezwa hospitali kwa siku ya pili mjini Pretoria ambako alipelekwa...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Watangazi wawili wa Australia waliopiga simu ghushi hospitalini alipokuwa amelazwa mkewe Prince William, ambaye ni mjamzito wamesema wamehuzunishwa sana na kifo cha...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Wanafunzi wa shule wa elimu maalum Kakola wilayani Kwimba katika maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara
Imeelelezwa kwamba pamoja na Tanzania kuadhimisha...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Hivi ndivyo Mwandishi wa Blog hii alipo mkuta bibi Thabitha
Ngalaba, Eneo la Station ya Mwanza akiosha kioski chake cha kuuzia
Samaki. sikumoja kabla ya treni kuingia...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Tume ya uchaguzi ilisema kuwa bwana Mahama alishinda kwa asilimia
hamsini na saba ya kura na kuondoa uwezekano wa kufanyika duru ya
pili ya uchaguzi huo dhidi ya mpinzani...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Mhe. Zitto Kabwe-Waziri Kivuli wa Uchumi (MB-Kigoma Kaskazini)
Waziri
Kivuli wa Fedha na Uchumi, Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge
wa Kigoma Kaskazini...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Rais Morsi anapingwa kwa kujiongeza mamlaka
Upinzani
nchini Misri umebatili kauli yao ya awali ambapo walisema wako tayari
kukutana hii leo kujadili wito wa...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Katibu Tawala Msaidiz Mipango na Uratibu Mkoa wa Mwanza Bibi Issabela Marick.
KIKAO cha kamati ya ushauri cha Mkoa wa Mwanza (RCC ) kinatarajia kufanya mkutano...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Katibu
Mkuu wa moja wa mataifa Ban Ki Moon anatarajiwa kuwasili nchini Uturuki
hii leo katika siku ya pili ya ziara katika mataifa yaliyoathirika na
mzozo nchini...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Sherehe za miaka hamasini na moja ya Uhuru wa Tanzania Bara zina tarajia kufanyika tarehe 09/Dec.2012.
Sherehe hizo katika mkoa wa Mwanza zitafanyika katika, Kimkoa...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Wanuswa kwapa kama mahojiano
Hata ujuzi pia hauna maana.
Huko ni China.
Shirika maarufu la Uchina, HAINAN AIRLINE limeweka masharti kwamba mbali na elimu na uzoefu
lazima...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Jee unajua kuwa ukikua pua yako na masikio yako pia yanazidi kukua , kurefuka na
kupanuka?
Hebu angalia wazee walio karibu na wewe utaona kuwa pua zao ni ndefu au zimepanuka.
Masikio...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Wanajeshi nchini Misri wameanza kuwafukuza waandamanaji, ikiwa ni
pamoja na waandishi wa mashirika mbalimbali ya habari, waliokusanyika
nje ya kasri ya rais mjini...
Kuni News Blog. Habari, matukio na uchambuzi wa makala.
Hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ENG.
EVARIST NDIKILO katika warsha ya maendeleo ya malengo ya milenia baada ya mwaka 2015 iliyofanyika Gold Crest Hotel Tar: 04/12/...